Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Hata aunt yangu mmoja anapitia hayo hayo. Yeye akitoka kazini kazi kubeba mtoto mgongoni, hata pini ikikutwa kwenye mfuko atakoma.

Siendi kwake hata alipojenga sipajui.

Alimpenda mwenyewe sie tukaoa.
 
Kuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale
 
Kama sijakuelewa Mamamdenyi; juu umesema aunt yako alafu ukamalizia alimpenda mwenyewe nyinyi mkaoa🤔
Ieke vizuri mami
 
Kuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale

Sent using Jamii Forums mobile app
Mahusiano ya design hii kisa sijui kunakuwaga nini, lakini ukiangalia kinamna waume kwenda kufungiwa kwenye chupa kwa waganga kunahusika sana.
 
Back
Top Bottom