Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Huyu hata akinipa limbwata sawa tu Haina shidaShida ujanani mnavuta kwa jeuri na ubabe mwingi View attachment 1693324
I would hope it's not tea so we can learn from it. But fathom this, your wife tries to sniff you in the evening if you had any food over lunch. How much sense does that make?What if it's not "tea"?
Huyo mwanamke hajakutana na mimi. Mwambieni ana bahati sana kutoolewa na MjaluoAkaendelea kusema kuwa yeye ana pewa elfu 45 tu kama nauli ya usafiri, na anaambiwa kuwa chakula akale home tu, akifika huwa ananushwa kama amekula huko nje na ikigundulika hapewi chakula siku hiyo nzima.
Ndugu yangu huwezi kuzuia mtu kufikiri, yeye kila kitu anawaza kudanganywa inaonekana yeye ni muongo muongoWhat if it's not "tea"?
Kua uyaone hii kitu ipo sanaTastes like Tea.
It's probably Tea.....
Oh My! It is Tea!!
Umepelekwa hapo ili umfungue huyo mtu,fanya vyovyote aombewe afunguke,usiache,itakutesaKusema ukweli sina uzoefu wowote na hao watu unao waita wataalamu, ila mpango wangu ni kumpeleka akaombewe, kama atakubali
Nakubaliana nawe mkuu.Huyo mwanamke atakuwa mchawi tu
Kwa kiswahili tunaiita chai tena ya mchai chaiTastes like Tea.
It's probably Tea.....
Oh My! It is Tea!!
Kama sijakuelewa Mamamdenyi; juu umesema aunt yako alafu ukamalizia alimpenda mwenyewe nyinyi mkaoa🤔Hata aunt yangu mmoja anapitia hayo hayo. Yeye akitoka kazini kazi kubeba mtoto mgongoni, hata pini ikikutwa kwenye mfuko atakoma.
Siendi kwake hata alipojenga sipajui.
Alimpenda mwenyewe sie tukaoa.
Pia nina mpango wa kupata namba za ndugu wa karibu hasa baba ili niongee naye, ndio maana sikutaka kuumpa ushauri siku ile zaidi ya pole tuUmepelekwa hapo ili umfungue huyo mtu,fanya vyovyote aombewe afunguke,usiache,itakutesa
Mahusiano ya design hii kisa sijui kunakuwaga nini, lakini ukiangalia kinamna waume kwenda kufungiwa kwenye chupa kwa waganga kunahusika sana.Kuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale
Sent using Jamii Forums mobile app
Relax.Dah,naona ghafla hasira zimenipanda,ngoja nirudi nyumbani jioni nikiwa nimetualia nitachangia,maana nimeshaandika na kufuta mara tano sasa....
Yes..ni jambo jema kuishirikisha familia...Pia nina mpango wa kupata namba za ndugu wa karibu hasa baba ili niongee naye, ndio maana sikutaka kuumpa ushauri siku ile zaidi ya pole tu
Hao ndugu ni mashupavu kweliKuna dingi mkubwa (sasa marehemu) mkewe alimsumbuaga kichiz na alikuwa hawez kufanya maamuzi yoyote ndani ya nyumba ...hali ilipozidi mashangazi wakaingilia kati wakaandika talaka wao na wakahakikisha yule mother anaondoka pale
PoleDah,naona ghafla hasira zimenipanda,ngoja nirudi nyumbani jioni nikiwa nimetualia nitachangia,maana nimeshaandika na kufuta mara tano sasa....
SI nyie mnasemaga hakuna uchawi!Mkuu kwa hisani yako msaidie huyo rafiki yako kapigwa sana na huyo mkewe kafanyiwa ushirikina mkubwa mpeleke kwa mtaalam yyt amsaidie usimuwache