Pole
Hata kama ni kurogwaKapigwa kimbola huyo.
Ukiumwa utatawazishwa na mama mkuu.Ndo maana mimi sitaoa Forever ushenzi gani huu tunafanyiwa na Madem.
Ahahaha mkuu umeona sasa uzi unavyonogaWe mzee wa kale acha nuksi 😂😂😂😂.....
Ni asilimia ngapi ya ndoa zipo ivyo....Ndugu yangu sio ndoa zote zipo hivyo
Kapiga limbwata lenye viwango vya kimataifa.Kweli limbwata lipo mpe pole rafiki yako
Ila huyo mkewe kiboko
Nimesoma mpaka nimeogopa hivi unamfanyiaje hivi mwanaume unayempenda jamaniKapiga limbwata lenye viwango vya kimataifa.
Atakuwa na mwisho mbaya sana huyo japo anajiona mshindi.
acha woga wewe sasa dada zetu waolewe na nani kama sio hao wanaume wajinga wasiojua okomo wa madaraka ya wake zaoUshauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Nitafanya hivyo akaombeweRafiki yako anahitaji kufunguliwa ..mpeleke kwenye maombi
HapanaDada nawewe mlokoleee?
Nadhani hapa hatuongelei bank,.nimkuuliza je unadhani kwamba uchawi unaweza kusababisha mtu akawa katika hali kama hiyo.