Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
acha woga wewe sasa dada zetu waolewe na nani kama sio hao wanaume wajinga wasiojua okomo wa madaraka ya wake zao
 
Nampa pole sana huyo jamaa.
Hawa akina mama wa nyumbani ndo shida yao hyo. Kama asipokuwa na akili ni lazima atajihusisha na ushirikina wa nguvu
 
Makabila ya pwani tunaongoza kwenda kwa waganga hususa ni Tanga.

Nina rafiki yangu tumeshibana sana lakini akifika kwa mkewe ni kama kondoo. Yani mnaweza kupanga kitu lakini mwanamke akikataa amekataa jamaa hana sauti kabisa. Ni mkali mkiwa nje ila akishaingia ndani ni tofauti kabisa.

Jambo la kutia huruma zaidi hawa watu waliofungwa ukujifanya unawanasua kama ni rafiki yako atageuka kuwa adui yako. Ni mtihani sana
 
Hiyo ndio faida ya kuoa mafundi vitatandani badala ya kufuata ushauri wa wazazi. Wazazi wanapokushauri huwa wanaangalia vitu vingi ktk familia husika unayotaka kuoa, mfano wanaangalia vichache vifuatavyo.
Uchawi ktk familia
Magonjwa ya kurithi
Uvivu ktk familia
Tabia za familia
Uchamungu wa familia
Mahusiano na jamii nk.
 
Back
Top Bottom