Kisa hiki kimemkuta rafiki yangu. Kuna watu hapa duniani wanapitia maisha magumu kwenye ndoa kwa kawaida huwezi kuamini

Mchungaji katunzi yuko dar hapo mpeleke vifungo vya uchawi vimtoke sikumoja tu utabadili maisha yake msaidie rafiki yako eagt city center njia ya mbagala kitua stand ya shamba juu inapita reli ninamfano kama huo maombi ni bure kabisa ni True pastor huyu.

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Yaani nimecheza humo humo tena karibu sana. Babu yangu mdogo alioa shangazi wa bamkwe so undugu wa kujiamini.nakula chakula najua siwezi kula na kinyama kimekaa kwa k kwa 7days.
Nachoshukuru Mungu nimeoa nikiwa above 30+ so nilishajua watu wanatumia ndoa kama kipato.
Yaani Mke anakukuta umehaso na umesaidiwa na ndugu yako ili baadaye na wewe unyanyue wengine mwanamke anaumia anatamani ajaze ndugu zake hapo ili uwabebe wao.
Elewa ndoa ni biashara vijana wakiambiwa wa naona kama wao wana dunia yao kama wao.

Huo uzuri wa tak ,tit or face ni ndani ya mwezi ama wiki unaona lile titi LA kawaida sana.
Mana binadamu tumeumbwa kuthamini sana kitu kabla hakijakaa mikononi ila kikishakaa twakiona cha kawaida sana tena hauna shobo nacho.
Ukishajua hii saikoloji wala hautosumbuka.
Na mwanamke naye ni ivyo ivyo mana naye si binadamu.
MTU anaolewa anafilisi jamaa huku akijenga kwenu.
Pia hii ni kama unapenda Ukoo ama watu wa kwenu uwasaidie pia kama wengi wapo chini ila kama wamekunyanyua afu na werwe unawaona kama uchafu wa chooni oa MTU wa mbali hata wakija kwako hawajui ukiwa haupo so ule ukaribu ni zero.
Oa mzungu ni English na huku baba yako anajua kikurya,kisukuma tu ndo atajuta kuzaa. Na uzeeni ogopa sana
 
AACHANE NAE HUYO MWANAMKE MCHAWI... HAPO HAKUNA KUPELEKANA NA MCH SHEHE WALA WAZAZ...
 
 
Kusema ukweli sina uzoefu wowote na hao watu unao waita wataalamu, ila mpango wangu ni kumpeleka akaombewe, kama atakubali
Angenitembelea mimi, siku ya pili hiyo ndoa ingekufa kifo kibaya. Ndo madhara ya wataalam.
 
Mpe pole sana na mshauri akimbie kwa kutafuta kazi kwingine na abadilishe namba zake zote na kama ni watoto watakua tu na akibahatika kukutana nao awape story kama ataona inafaa. Huo ni utumwa na sio ndoa.
 
Ushauri wangu Ni huu
1. Oa rafiki yako
2. Oa kutoka the same background
3. Oa mtu wa kwenu
4. Mkeo asikuzidi kipato
5. Epuka kuoa makabila usiyojua Mila na desturi zao. Wachaga wananielewa kwa hili
Hapa kwenye kabila nakataa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…