Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
Kuna mambo ambayo tunayafanya sisi Ngozi nyeusi yanatatiza sana hadi unabaki na maswali hivi hili limefanywa na binadamu mwenye akili sawasawa kweli?
Kuna visa kadhaa wa kadhaa ambavyo nimewahi kusoma sehemu tofauti tofauti na vingine kuvisikia kwa watu hasa haw wahamasishaji. Moja kisa hii kina elezea uhalisia wa akili zetu hasa sisi wa Tz.
KISA CHENYEWE NI HIKI HAPA.
Wazungu walipanda gorofa hadi floo ya mwisho kabisa juu kisha wakaanza kusifia namna jengo lile zuri lilivyojengwa.Walimsifia injinia wa jengo lile na hawakuishia hapo tu wakampongeza na mmiliki wa jengo lile
kisha wakaulizana kwa maksio hili jengo laweza kugharimu $ ngapi? Kila mmoja alitoa tathimini zake kisha wakashuka na kuendelea na mambo yao.
Basi waafrica (Tanzania ) wakapanda jengo lile lile hadi floo ya mwisho walipokuwa wazungu.Baada ya kutazama chini mmoja wapo akasema kumamae majamaa ya hela hatari.Yule mwingine akadakia na kumuuliza mwenzie ...
Ukiambiwa upewe milioni 100 ujirushe hadi chini utakubali?
Basi leo hapa hapa jukwaani kuna uzi una mbeza Rais wa Burknafaso Ibrahim traore akiwa na putin wanasalimiana .Ule uzi hauna maelezo sana
Unazungumzia kwanini alipokuwa na putin hakuwa na zile bastola yake kama anavyoonekana akiwa hapa Africa.
(siyo title halisi nimesahau )
Ule uzi michango yake kutoka kwa wadau inashangaza sana .....wengi wamesema huyu dogo ni mjinga sana,poor africa,anajiona sana kama kamaliza,huyu dogo tusubiri mwisho wake, na mengine mengi.
Maswali ya kujiuliza mjinga anaweza kumpindua rais na kuungwa mkono na jeshi?
Mjinga anaweza kufanya yale anayofanya huyu anayeitwa dogo?
Huyu wa kuitwa mjinga anaweza kupunguza mishahara ya watumishi kwa weredi namna ile?
Wewe mwenye akili umeifanyia nini nchi yako hadi sasa?
Nini tujifunze kwako wewe mwenye akili?