Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

Ungekuwa karibu ningekufanyia interview katika kipindi changu cha simulizi za maisha. YouTube

Hii stori ni nzuri mno.
mimi nina story ya kweli kwenye milima ya morogoro (maeneo ya mikese ile ya kulia kama unaenda Moro). ni kweli na ya kusisimua sana. ila mpaka mwisho sikufanikiwa ila nilikuja kujua siri nyingi za mali za wakoloni katika milima ile. Unasemaje unaweza kuiweka youtube?. Ilikuwa jeuri yangu niaota ndoto nikamsimulia kaka mmoja Freedom Tommorrow akanipa tafsiri ya kweli na tafsiri ilinisaidia sana jinsi ya kuingia katika mapango marefu ila sikufanikiwa kama aliyenitafsiria ndoto alivyoniambia,
 
Kumbe haya mambo ni kweli? Kuna mzee mmoja alishanisimulia kuwa anasaka mekyuri kwenye mapango na ml 500 yaani kopo dogo la maji la sh. 500 unauza milioni mia tano nikamwambia umepotea-sijui kama alishapata lakini
 
Nilishawahi simuliwa story kama yako namna kupata Mercury na jamaa mmoja wa huko handeni Tanga inawezekana Kuna kaukweli fulani. Kama Mercury inasaidia katika mchakato wa kupata dhahabu pure wenda Kuna ukweli mana vyote hivi vinapatikana kwa nguvu ya giza.
 
Mwaga stori hiyo mkuu
 
Kwanini uyo Jamaa hamkumwambia masharti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…