Kisa kilichotokea wakati wa kutafuta mekyuri

Mercury hii inayotumika machimboni kwenye dhahabu au nyingine? Mbona kuna kuna watu wanaiuza japo bei ghali lkn sijawahi kusikia hizo story za utafutaji wa aina hio. Matapeli ni wengi kuwa makini.
 
1kg ya mecury ni zaidi ya laki moja
Hpn pesa ya kg 1 unaweza kununua mtaawenu wote hlf ukaamua upande mihogo
Pesa ya mecury ukiiskia tumbo linajaa gesi[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Mercury hii inayotumika machimboni kwenye dhahabu au nyingine? Mbona kuna kuna watu wanaiuza japo bei ghali lkn sijawahi kusikia hizo story za utafutaji wa aina hio. Matapeli ni wengi kuwa makini.
Hpn zipo za aina mbili Kuna ile original ambayo ipo ktk mfumo wa kimiminika ni hatari Sana ile ukiishika inatoboa mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…