Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Ila uzembe ni wenu, lecturer alikuwa katika haki akitimiza wajibu wa kazi yake.
 
Dah pole sana uende kwa psychologist upate msaada

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mie niliwahi kujutia baada ya kumpima demu na kumkuta amewaka wakati nilishamla peku peku mara kibao na tumeshadumu kama miezi sita.!
Mbaya zaidi alidai hajawahi kupima na hakujua kama ana ugonjwa ila anahisi aliambukizwa na polisi flani hivi aliyekuwaga mtu wake miaka miwili iliyopita.
Ukweli sikuwa na amani miezi kadhaa nilipima nikakuta sijaambukizwa nikamuacha japo huwa nammiss she was so sweet halafu kaumbo kake dah!
Ila mpaka sasa kila nikiopoa demu napigaga peku cjui kwa nn
 
Imetaka kufanana na story ya Itigi Sec 2011 ila utofaut kdogo[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52] wanangu wa Itigi wataelewa lile nasema
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila zamani shule za secondary hasa bweni, zilikua na vurugu mnooo. Khaaah.
 
Wewe hujajifunza bado
 
Dah pia hii mada imenikumbusha mbali sana, tukio ambalo najutia na likabiharibu kabisa psychologically na hadi leo sijapona na sjui taponaje, but one day tatafuta psychologist anisaidie.
Daah inasikitisha but hiyo imani uliyonayo ipo siku itakusaidia kurejesha mausiano mazuri na familia yako. usichoke kuwa mwema kwao..
 

Pole Duuh!
 
Vipi mahusiano na step mother yakoje
 
Na huyo dem uliempa sim je yeye ilikuweje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…