92 jerrie
JF-Expert Member
- Feb 28, 2022
- 7,273
- 16,705
dah naumwa ila nimecheka sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Miaka 14 nyuma ndo nilikuwa najuta ila sasa nashukuru joto limeshuka kidogo.
Ilikuwa siku ya jumamosi mchana binamu yangu mdogo (sehemu kubwa ya maisha yangu hawa ndo wamenilea) akatuma ujumbe “dogo leo nitaenda kwenye sherehe jioni uje nyumbani kulinda nyumba”hii ilikuwa ni mazoea akipata dharura mimi naenda na huu mwaka ndo alikuwa ameowa so walikuwa wakitoka nyumba inabaki tupu ilikuwa nje ya mji Kimara huko so mimi saa kumi kumi nikatoka zangu Mabibo kuelekea,kufika 18:00 jioni nao wakaondoka kumbe mule ndani yupo h/girl ameletwa kumsaidia mkewe jamaa pindi atakapojifungua.
Nikazuga zuga nje moja moja hivi nikaingia ndani,nje hakukaliki mbu pia usalama mdogo so nikaenda kukaa sebuleni nachat na demu wangu (na ndiye mke wangu sasa,nilikuwaga na kisimu changu Nokia kipindi hiko) tukawa tunatumiana sms za kijinga jinga ooh nimeku-miss sijui ukiwa uchi ooh natamani saizi ningekuwa nimelala kwenye kifua chako na blah blah blahs nyiingi kama mnavyojua tena uanaume kichwa cha chini mawimbi yakasoma so kadiri mule ndani anavyopita pita yule bint nikawa napiga hesabu zangu kichwani.
Nikainuka nikajifanya kwenda kumsaidia kazi jikoni ili nimzoee na nimuone vizuri nikakuta ni wa kawaida sana,sura ngumu body yenyewe ya kuazima nikaghairi nikarudi kukaa ile kusoma tena sms za demu wangu nikajikuta namuona huyu mbona mzuri tu japo kwa siku mojaa!muda wa kula nikaingiza vocal ahadi nyiingi mara nitakuowa akaniambia mimi hapa sikuja kuolewa nimekuja mara moja tu dada kaniambia nije nimsaidie rafiki yake akijifungua(mke wa binamu)na kwamba anasubiri kuendelea na kidato cha tano na sita.
To cut a long story nilikuja ku-force usiku kabla ya saa sita tena kwenye corridor maana nilijisemea kwa vyovyote huyu atanisemea kwa boss zake wakirudi ngoja nijipoze hata ikitokea akasema lawama ziwe na sababu,ujinga zaidi niliiloweka mbichi dk mbili sijui tatu zile mixer kung’atwa nikasikia chwaa chwaaa chwaaaaa nikaachia akaondoka zake chumbani kwake kujifungia huku analia hata nilipomgongea kwamba nataka nimuombe msamaha lengo nimuweke tena akagoma,asubuhi kulivyokucha nikamuona alivyo nikawa natafuta sababu ipi hasa ilinifanya nimtake huyu?halafu nikawa namkunjia sura ile kihuni kwamba mimi siyo wa mchezo mchezo....wee nilijuta!!!miezi mitatu mbele nikaitwa Kimara kusema nilichomfanya mwanafunzi ikawa sasa siyo house girl tena,kufika naambiwa ana mimba nilitamani ardhi ipasuke case ameishikilia dada yake mwanasheria aliyesoma na mke wa binamu.
At age 22 kunikuta Ustawi wa Jamii nahudhuria kesi sijatoa matunzo ya mtoto ilikuwa kawaida sana kuna siku nimefika pale nikakuta wamama waliokuwa hawajanizoea wakadhani nimekuja kushtaki wazazi wamekataa kunitunza niliposema kilichonipeleka wakaninyanyapaa sana,hii issue ilinichanganya maana dada mtu alikuwa anatia pressure nimetia mwanafunzi mimba na kwamba anaweza kunifunga wakati wowote matumizi yakilega lega na usawa wenyewe ulikuwa mbovu na binamu yangu akaniambia ameomba kesi isifike polisi akijifungua atamsomesha chochote atakachokitaka mimi nikomae na malezi zaidi ya hapo hana msaada mwengine.
Kuna siku nililetewa barua za wito tatu mfululizo kutoka Ustawi wa Jamii hiyo ya tatu aliyeniletea (nilikuwa nakimbia kimbia situlii sehemu moja kwa kuogopa kukamatwa) alinikuta katikati ya zebra crossing navuka upande wa pili akanikabidhi cheti na vitisho juu kwamba safari hii nikichomoka sitapata kiboko kama hiyo aisee sikuweza kuhimili nilikaa katikati ya barabara nikapiga ”Uuuwiiiiii” huku machozi yakinitoka shukuru hakukuwa na gari karibu wakaja watu kunitoa naburuzwa miguu haina nguvu wakaniuliza unaumwa nikadanganya nasumbuliwa na tumbo.
Ila sasa dogo amekua nikimuona nafarijika sana mama yake nae alisomeshwa nursing na ameshaolewa huko ila huu msoto sitakaa niusahau.