hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
Naam true mkuu hapa Kati Kati sijui Nini kilitokea aisee jf ilipoteza watu wenye weledi mpana wa kufikiri kabisaJf imeanza kuzalisha watu wenye Akili kubwaa mno uzi bombaa kabisa[emoji106]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam true mkuu hapa Kati Kati sijui Nini kilitokea aisee jf ilipoteza watu wenye weledi mpana wa kufikiri kabisaJf imeanza kuzalisha watu wenye Akili kubwaa mno uzi bombaa kabisa[emoji106]
Really!? Pole Sana chief [emoji849][emoji20][emoji20]Aise nikimkumbuka yule mwanamke naishia kujuta kwa nini nilimgegeda siku ile....ndio safari yangu ya arv ilipoanza[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Na mimba juu mkuu.🙄
Pole ya nini mzeya, mie nimevuna nilichopanda sii nilikuwa na naona uzinzi faida na bimkubwa amepoga kelele mpaka kachoka. Wala msinione huruma. I had it comingReally!? Pole Sana chief [emoji849][emoji20][emoji20]
😆😆😆😆Hakika uliupiga mwingi kutapeli chuo
Kifurushi kimeisha mkuuPole Sana tupe full package mkuu
Nakupenda unavyojikubali mpaka tunaona kawaidaPole ya nini mzeya, mie nimevuna nilichopanda sii nilikuwa na naona uzinzi faida na bimkubwa amepoga kelele mpaka kachoka. Wala msinione huruma. I had it coming
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119]Pole ya nini tena wakati nilichokuwa nakitafuta nimekipa....haiwezekani upende uzinzi alafu ukipata ngoma ushangae
Hamna ukawaida joo....acheni uzinzi. Msiniige... Mie mwenzenu safari yangu ya six feet under nilishaianza so bora muchukue tahadhari kabla ya ajali mliobakiaNakupenda unavyojikubali mpaka tunaona kawaida
Siku hizi Nina principle moja tu,sibebi mzigo wowote nisioujua hata kwenye daladala...Mambo ya nishikie, jibu langu Ni straight "No"Najutia siku nilikua airport mtu akaomba nimsaidie kubeba mzigo kuleta Dar nikapewa mlangoni, kumbe ilikuwa ni poda. Shukuru kipindi iko airport hawajaweka scanner ya wanaofika.
Wajuba walikufukunyua nini?.Niliingia choo Cha kiume..yaliyonikuta [emoji23][emoji23]
Kha!kha!,Uliua?,Dah!!,Lkn MUNGU wetu ni mwenye huruma sana,ukitubu atakusamehe.INAUMA niliua pasipo kujua kama ninaua hii kitu inaniuma sana maana hakuna aliejua zaidi yangu na hadi sasa sijui nitakuja kuitubia wapi hii dhambi maana hata Mimi mwenyewe sikujua kama ninaua, ila baada ya kifo kutokea ndio nikaunganisha dot nikagundua iam murder pasipokujua, Binadam ni watu wabaya sana na wanaweza kukutumia kuuwa then wakakudamp.
Waliokufa na ajali pale Moro na gari la Ahmed walifikia 30 baadae afu nasikia wote walikuwa -ve.Nadhani umenielewa.Ila ushauri nimeupokea mkuuHamna ukawaida joo....acheni uzinzi. Msiniige... Mie mwenzenu safari yangu ya six feet under nilishaianza so bora muchukue tahadhari kabla ya ajali mliobakia
Kuna mambo yanaumiza sana moyo.Acheni kujutajuta...ukishatoa Boko,jipange kuwa Bora zaidi ya Jana.
Siku hizi Nina principle moja tu,sibebi mzigo wowote nisioujua hata kwenye daladala...Mambo ya nishikie, jibu langu Ni straight "No"
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji119][emoji119][emoji119] vijana wa hovyo everywhereVISA NI VINGI,ILA ACHA NIANZE NA HIKI...
Ni 2010's niko form 4 shule ya kata hiyo mkoani Iringa huko. Nilikua mtoro sana,yani nikisema mtoro ni mtoro kweli. Kwa week naweza kuhudhulia shule mara mbili tu,siku nyingine zote nashinda Samora pale katika maroli ya mchanga,mawe fofali,n.k tunasubiri kazi za upakiaji. Au nakua Isakalilo nachimba zangu mchanga au mawe.
Licha ya mahudhulio yangu kuwa mabaya,ila walimu wengi wa ile shule walikua wananijua,haswa Headmaster. Huyu alinijua kwasababu alinisaidia sana kipindi naingia pale form 1.(Hili nilieleza katika ule uzi wa "Msoto")
Tatizo lilianzia hapa.Siku moja bila hata kutarajia alikuja ndugu yangu mmoja wa karibu kabisa akanichafua sana pale shule,wakati huo nimewekwa mtu kati ofisi za Walimu. Yani aliongea mambo mengi sana,kutokana nae ni mtu mzima na ana mwonekano wa busara busara! Basi walimuamini 100%.
Alisema mimi mhuni(Kibaka),MLEVI sana na nakunywa Ulanzi sanaaa! Nashinda na wahuni, sina nidhamu hata kidogo,n.k,n.k. Wakati huo kumbuka sijawahi kuishi nae tangu namaliza standard 7 huko,nikitelekezwa nikawa naishi tu kama mtoto wa mtaani. Nilikua Chokoraa ambae shule niliipenda ila nilikua nashindwa nijigawe vipi,huku nihudhurie shule au nitafute hela ya kula.
Basi ndugu zangu tuendelee, Headmaster na wale maticha hawakutaka hata kunipa nafasi nijitetee, na hata wangenipa nafasi ya kujitetea sidhani kama ningeweza,nilikua nacheka cheka tu kwa hasira. (Mimi nikikasirika sana huwa natabasamu sana na kakicheko kwa mbaliii).
Kama unavyojua shule zetu za kata,mimi nikadhani yanaishia pale,ajabu yule ndugu yangu akaamuru nichapwe viboko hadharani. Ikagongwa kengere pale,wanafunzi wakakusanyika pale,nikachafuliwa sana pale assemble,daah yani chafuliwa sanaaaa! Muda huo mimi hasira zimejaa level yake ila tabasamu limejaa usoni halikauki,ndio nilivyo.
Kama unavyojua wanafunzi, mashtaka yalikua kibao,ila points za msingi walizochukua ni "Mimi Kibaka" na "Mlevi,nakunywa sana Ulanzi".
Daah wakawa wananitania sana kila nikienda shule katika zile siku mbili zangu za week, nikawa nahisi karaha,basi nikapunguza mahudhulio kutoka siku mbili mpaka siku moja kwa week au siendi kabisa.
Basi kuna siku nikaenda shule ni kipindi tunakaribia kufanya mtihani wa Mock, Headmaster akaniita Ofisini. To be honest sijawahi kwenda shule nikiwa na "Majagi" kichwani,ila siku hiyo nilikua Majagi haswaa,ila nimekula majani ya mti wa limao ili kuzuia harufu. Daah kufika ofisi ya Headmaster si akaanza kunikumbushia yale ya siku zile,akawa kama ananisimanga na ule msaada ambao alinipa kipindi naanza form 1.
Siwafichi uvumilivu ulinishinda,nikawa natetemeka kwa hasira yule mzee yuko mbele yangu kakaa anaendelea kutema shombo zake. Nikagonga meza kwa hasira "Kaa kimya wewe mzee",...aah mzee akajaa upepo baada ya kuona kama namchimba mkwara,si akasimama tukawa tunatazamana ila yeye yuko upande wa pili wa meza.
Aisee! Nilimpa ndonga (Kichwa) moja matata sana mpaka akajikuta kakaa chini bila kutarajia,alafu kimyaa!. Nikajua nimeua wakuu,ila nikavaa roho ngumu nikatoka mle ndani kama hakuna kitu kimetokea,nikatimkia mtaani.
KITU NAJUTIA
Ni kumpiga kichwa mtu ambae anakaribiana na babu yangu. Yani najuta sana.
Najutia sana kuwazalisha wadada. Sasa hivi maisha yananiendea kombo yaani niko na familia yangu lakini utasikia unapigiwa simu mara mwanao anaumwa mara ada. Yaani hata mke wangu hayuko comfortable na masimu simu.
Kuna siku aliniambia yani ungeniambia una watoto nje hata nisingekukubali. Daah naumia sana.
[emoji2]
Ulitokea mgomo shuleni na umeme ulikuwa umekata wana wameenda kumtia adabu headmaster mimi nikaamua kujificha bwenini nkalala deka la juu, maana mshua aliniasa mambo ya migomo nisishiriki sisi ni masikini.
Ebwana eeh majamaa wameenda wakakuta headmaster kakimbia wakaona waje kuzimalizia hasira kwa waliolala bwemi waliokataa kugoma aisee
Bwemi la mbele kuna wanawakadakwa wakaanza kushambuliwa kwa bakora huku wengine wakivunja vioo,
Nilijikuta tuu nipo sakafuni natimua mbio kuelekea kwenye shamba la mahindi, kumbe kuna mmasai na wenzake walikuwa mle ndani nao nilishangaa wameibuka kama mizimu tunaongozana kwenye mahindi