Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Kisa kipi kilikufanya ujute sana?

Nilifaulu A Level moja ya shule bora Mkoani kilimanjaro, Kipindi hicho ndo nipo maskani nafanya maandalizi ya kununua baadhi ya vitu ili niweze kusafiri siku inayofuata, Nakumbuka nilikuwa nimepiga mishe mishe nyingi sana kitaa tangu nilivyomaliza form 4 nikajichanga kununua simu ya elfu 40 ya button , kipindi hicho ni simu nzuri sana yenye display ya visamaki vikiwa vinatambaa, pia nikanunua baadhi ya vitu vya muhimu vya shule kama sabuni, viatu, sare nk. na hela ikawa imeshakata, nikabaki na hela ya ada nikaamua kuiweka kwenye simu ili nikifika Moshi niweze kuitoa nikalipie shuleni.

Sikuwahi kufika Moshi kabla, na Mzee hakunipeleka kwani alikuwa anasumbuliwa sana na miguu kipindi hicho, Ikabidi nikomae mwenyewe nianze safari, bahati nzuri nikawa nimepata connection ya mawasiliano na bro mmoja aliyemaliza shule kabla yetu hivyo alipangiwa shule ninayoenda mimi , yeye alikuwa form 6. Akaanza kunielekeza baadhi ya vitu na kipi nifanye nikifika moshi. Haya Safari ikaanza, nilikuwa natokea Dodoma, Kipindi hicho unapitia kwanza Singida kabla ya kujengwa hii barabara ya shortcut ya babati. Safari imeanza vizuri tu tukafika Singida fresh, tukapiga tea dakika 10 tukaingia tena kwenye basi hadi babati, nafika babati tukaambiwa tuna dakika 10 za kula msosi, Nimekula fresh nikaingia kwenye basi nikae, kujisachi sion simu, nikakumbuka niliiweka mfuko wa shati, akili ikanijia na nikajua hapa nimeshapigwa. Kumwambia konda sioni simu akazidi kukazia ,dogo hapa ushaibiwa, Sio sehemu nzuri sana, pole sana...Daaah nikakumbuka laini ilikuwa ni mpya na namba sikuikariri, na nilishaweka hela ya ada, kichwa kikaanza kuniuma. Isitoshe namba ya yule jamaa nikawa nimeipoteza na sikuwa nimeikariri. Nilisafiri kwa mawazo sana siku ile. Nikafika Moshi usika kama saa 2 hivi, mfukoni nina elfu 4, nikaulizia magari yanayoenda shuleni, nikaambiwa huwa yanaenda mwisho saa 2 usiku kwahiyo nilishachelewa, ni nje ya mji kidogo. Dah, ikabidi niombe hifadhi kwenye basi nilale ili kesho niondoke, hapo nishaazima simu sana kumpigia mzee tangu mchana simu yake haipatikani, nikawa chakula cha mbu usiku ule.
Asubuhi nikaelekezwa magari ya shuleni na nikafanikiwa kufika shuleni kwa kulia sana na konda maana nauli ilipelea, sasa shuleni walimu wakawa wanagoma kunipokea sina ada sina godoro, kila napojaribu kuwaelezea mkasa ulionikuta wakawa wanahisi ninatunga, baada ya kuhangaika nao sana wakaniruhusu. Nakumbuka niliishi maisha magumu sana, mahitaji mengi yaliisha mixer madeni ya shuleni nikawa sina amani kabisa. Likizo time sikutaka kwenda home kabisa nilikosa hata nauli, tukabaki mimi na wenzangu (hasa wanafunzi waliokuwa wakiishi mikoa ya mbali kama kigoma na mwanza,) tukawa tunamsaidia mwalimu wa economics kulima shamba lake na kupanda, namshukuru sana likizo yote tulitumia shambani, alikuwa anatulipa vizuri sana na alikuwa mkarimu sana yule mwalimu (RIP), tulivyofungua Shule shida zote zikawa zimeisha nikafanikiwa kupunguza madeni na pia ile hela iliyokuwa kwenye laini voda waliirudisha kwani nilienda kurenew laini, kuna bro yule wa shulen alikuwa na namba yangu, hivyo kurenew ikawa simple sana, nikawa don sasa shulen hadi wanafunzi wakashangaa.
Ila nilijutia sana kuipoteza simu yangu, niliitumia siku moja tu, na niliitafuta kwa hela ya jasho langu[emoji20]
We mwizi uliyeniibia simu babati kama upo humu Mataccor yako

YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kisa cha nne .....

Mimi katika kisa hiki najuta sana na pia naumia sana kwa yote niliyoyasababisha kwa jamaa yangu

Nikiwa chuo mwaka wa tatu , kuna bro tulizoeana sana mpaka kiasi cha kuamini nisipo mimi yeye hayupo japo alikuwa mwaka wa mwisho ila bado tulibond vizuri mno .

Kaka huyu alikuwa ni mtu kutoka Geita, lakini mpaka nafahamiana naye , hakika niligundua alikuwa ni wale watu wa masomo na yeye si mtu wa kusema azunguke aujue mji kidogo au ajichanganye ila alikuwa anapenda sana kubeti .

Sasa kubeti ndiyo kulifanya urafiki wetu ukafana sana , na hapa ndiyo wale wakuitwa wahenga wanasema.....ndege wafananao huruka pamoja, basi bro yule akajikuta ameanza kunifuata kwa kila tabia niliyokuwa nayo, mpaka wale wanaojikuta wanasomeshwa na kijiji, daily wanamshauri huyu jamaa hafai kuwa rafiki yako anakupoteza .

Walikuwa wanamshauri haya maana niliwahi zinguana na lecturer sababu ya uonevu aliotaka kunifanyia hivyo habari zikawa zinasambaa na vile nilikuwa nahudhuriaga kwenye kumbi za starehe around hapo chuo basi waliniona mimi ni mhuni sana na sio wa kuwa na rafiki aliyeserious na masomo vile.

Ila jamaa hakuwasikiliza maana alijua in deed sina uhuni kihivyo maana hata pombe sinywi ila ni vile rafiki zangu ni wahuni , ukizingatia nasoma chuo , nyumbani.
Basi jamaa taratibu akaanza naye kupenda kununua vidada Poa sehemu tofauti tofauti kama mimi nilivyokuwa nafanya, yeye alikuwa amepanga geto keko, hivyo mida fulani nikiwaga na time nilikuwa namuibukia tunabeti kama kawaida na tukishinda basi tunaingia viwanja kuwacheki 2watoto wazuri.

Dah nikaja kustuka jamaa angu ashakuwa mlevi, sasa sikuwahi jua alikuwa mlevi kabla au la?
Mara ya kwanza kujua ni mlevi tulienda kuopoa dada poa , mida ya saa saba baada ya UEFA MATCH kuisha usiku huo, tulikuwa na mkwanja mzuri , tulienda maeneo ya LIQUID pale uhasibu , basi kabla ya kuchagua wadada akasema tukapoze koo ikawa hivyo akaagiza pombe na akazipiga nikasema bro keshakuwa chapombe

Maana alilewa sana kiasi cha mimi kuanza kuhangaika usafiri na Demu niliyemnunua ili twende guest wakati huo hajiwezi na ilibidi nimchukulie room bila Demu maana asingeweza kufidia hela tutakayomlipa Demu.

Basi maisha na bro hakika yalifana hayupo geto kwangu basi nipo kwake, maisha yakendelea na utaratibu ni ule ule , ni mwendo wa bata na kula nyapu za dada poa bila kujali ni wala nini.

Siku moja jamaa yangu aliniita niende keko maeneo ya DDC ili tupate kupoza koo japo mimi si mnywaji zaidi ya soda na misosi na kuopoa basi
Sasa mida ya kufika pale alisema nifike saa nne usiku ili twende bar moja inaitwa KING PALACE , maana ilikuwa siku ya jumamosi akadai siku hiyo kunakuwaga na watoto wakali.

Pasipo kumpotezea time mwanangu , saa nne nilikuwa pale nikamcheki kwa simu chap na haraka akatokea maana geto kwake haikuwa mbali na pale , maana aliishi karibu na GEREZA LA KEKO , pale ,kweli tukazama KING PALACE taratibu bro akaagiza vinywaji vyake na mimi nikaagiza misosi na soda , tukaendelea kuburudika.

Mara nikamuona kimwali nikasema bro mimi naishi na huyu leo , maana walikuwa wanazama mle ili kutafuta wateja, nikamsoundisha mrembo akajaa bei na guest tukakubaliana na akanipa kampani japo yeye ni wa vinywaji vikali, hela ikatoka akaendelea kuishi na sisi.

Baada ya mida kidogo naye bro akaendea akaopoa akarudi na malkia wake, naye tukaungana naye kwenye burudani mara tucheze muziki kidogo mara tupigane busu na malaya wale .

Dah laiti ningejua ilikuwa ni siku naenda kumpoteza rafiki yangu that night ningeondoka mapema tu .
Basi mida ya saa nane tukachomoka pale tukaelekea guest fulani ambazo ni kama unaingia keko ndani kidogo , sehemu inaitwa keko torori, basi kila mtu akaendelea na malaya wake mambo mengine vyumbani.

Asubuhi mida ya saa kumi na moja , malaya wangu alihitaji kuondoka nikamruhusu sasa baada ya kuondoka naenda chumba cha bro kumcheki simkuti ila nilikuta vitu vya ndani kama kitanda na visturi vimekaa kama kuna vurugu ilitokea, dah nikawa na mawazo sana , ikabidi niende mapokezi ili niulize kuna nini na jamaa yangu mbona simuoni?

Mapokezi walinijibu mbona huyu jamaa alichukuliwa usiku na wahuni fulani eti amaemchukua Demu wao, dah pale nikawaza sana , ukizingatia keko kipindi hiko si pema sana kwa watu wake , nikawa nawaza tu jamaa angu awe mzima tu , mengine yanasolvika.

Nikatoka pale guest mpka getoni kwake nako wanasema hawajamuona toka jana usiku na chumba kimefungwa.
Nikawa na mawazo sana kwenda chuo kutoa taarifa nasita pia naona aibu nitasema tulikuwa wapi usiku wake mpaka niwe na mashaka hivyo.

Ikabidi niende geto nikapumzishe kichwa kwanza , lahaura , nafika kituo cha polisi ambacho kipo karibu na kituo cha magari pale DDC ndiyo nakuta watu wengi , wamejikusanya pale eti kuna mtu ameuwa amekutwa keko _magurumbasi, hiyo ni mida ya saa mbili kasoro, dah kuulizia alivaaje nikajua ni bro ndiye kauwawa, mara difenda ikaondoka pale kumpeleka _temeke hospitali, niliumia sana tena sana .

Sasa uchunguzi ukaanza na chuo wakawa wananiuliza sana mimi maana nilkuwa close sana ila ilibidi niseme sijaonana naye toka jana hivyo sijui ilikuwaje maana hata simu zangu , siku iliyopita hazikupokelewa na pia nilienda kwake pia ila bado sikumkuta.

Nilihojiwa pia na polisi ila bado sikubatilisha maelezo, mwisho msiba uliendelea na akasafirishwa na chuo mpaka kwao nilienda pia msibani ila ilibaki kuwa hatia moyoni mwangu .
Kila nikikumbuka uwa najutia sana

All in all rest in peace banzoka .
 
K zinawamaliza sana basi tu wanaume hamkomagi,

Dah so sad
 
Nakumbka mara ya kwanza, nazamia ulaya nlikua nmelamalza 4m4 2016, nikatafta pesa hivo nkatafta namna nzur ya kusafr lengo kuu ilkua kwenda china , sababu Abroad is my hobby,

Nlipata nauli kamili ya kwenda china na nikaanza kwa kwenda Ethiopia, Addis Ababa,then nkakaa hapo sku chache then nkakutana na bint niliemuamini na ni mwenyeji sana huku china(Shenzhen)

Ikawa rahs kupata visa, lengo langu ilkua kwenda china kuchek Dili za biznez hasa ya nguo, so nlikua na mtaji mdg, na mm nlikua mzoefu wa mitumba toka mdg, had skul nlikua pumzko la sa4 nafunga kamba na kutandaza nguo zangu so nlikua nauzoefu wa ndan ya nchi.
Bas safar ikafana na nimara ya kwanza kusafr kwa chopa, Boeing ,

Bas tukafka nkafikia kwake,
Ofcoz Alikua mwenyj na alinishaur mtaji wangu niweke kwa mifumo ya china kweny mtandao hivo nkafata kila anacho nishaur, nakumbka tulilala ila skujua kesho nainza vp coz sjawah muona huyo bnt had now na Chinese police walinikamata kwa tuhuma ya kete,
Na bnt pia alikmatwa, story n ndef but nlipitia magum katka umr mdg ,

Kwa sasa nipo tz na chna naenda sana na china za uingereza nmeburuza sana, ile ilinifundisha kutoamn mtu na pia ilinipa chachu zaid, na nlijalaum mwnzo ila kwa sasa naona ilikua kama subtopic nzur kwangu, nkiwa na mda ntashusha story yote china na had kurd bongo.
Duh! Pole sana, sasa huyo dada bado mnawasiliana?
 
Kisa cha nne .....

Mimi katika kisa hiki najuta sana na pia naumia sana kwa yote niliyoyasababisha kwa jamaa yangu

Nikiwa chuo mwaka wa tatu , kuna bro tulizoeana sana mpaka kiasi cha kuamini nisipo mimi yeye hayupo japo alikuwa mwaka wa mwisho ila bado tulibond vizuri mno .

Kaka huyu alikuwa ni mtu kutoka Geita, lakini mpaka nafahamiana naye , hakika niligundua alikuwa ni wale watu wa masomo na yeye si mtu wa kusema azunguke aujue mji kidogo au ajichanganye ila alikuwa anapenda sana kubeti .

Sasa kubeti ndiyo kulifanya urafiki wetu ukafana sana , na hapa ndiyo wale wakuitwa wahenga wanasema.....ndege wafananao huruka pamoja, basi bro yule akajikuta ameanza kunifuata kwa kila tabia niliyokuwa nayo, mpaka wale wanaojikuta wanasomeshwa na kijiji, daily wanamshauri huyu jamaa hafai kuwa rafiki yako anakupoteza .

Walikuwa wanamshauri haya maana niliwahi zinguana na lecturer sababu ya uonevu aliotaka kunifanyia hivyo habari zikawa zinasambaa na vile nilikuwa nahudhuriaga kwenye kumbi za starehe around hapo chuo basi waliniona mimi ni mhuni sana na sio wa kuwa na rafiki aliyeserious na masomo vile.

Ila jamaa hakuwasikiliza maana alijua in deed sina uhuni kihivyo maana hata pombe sinywi ila ni vile rafiki zangu ni wahuni , ukizingatia nasoma chuo , nyumbani.
Basi jamaa taratibu akaanza naye kupenda kununua vidada Poa sehemu tofauti tofauti kama mimi nilivyokuwa nafanya, yeye alikuwa amepanga geto keko, hivyo mida fulani nikiwaga na time nilikuwa namuibukia tunabeti kama kawaida na tukishinda basi tunaingia viwanja kuwacheki 2watoto wazuri.

Dah nikaja kustuka jamaa angu ashakuwa mlevi, sasa sikuwahi jua alikuwa mlevi kabla au la?
Mara ya kwanza kujua ni mlevi tulienda kuopoa dada poa , mida ya saa saba baada ya UEFA MATCH kuisha usiku huo, tulikuwa na mkwanja mzuri , tulienda maeneo ya LIQUID pale uhasibu , basi kabla ya kuchagua wadada akasema tukapoze koo ikawa hivyo akaagiza pombe na akazipiga nikasema bro keshakuwa chapombe

Maana alilewa sana kiasi cha mimi kuanza kuhangaika usafiri na Demu niliyemnunua ili twende guest wakati huo hajiwezi na ilibidi nimchukulie room bila Demu maana asingeweza kufidia hela tutakayomlipa Demu.

Basi maisha na bro hakika yalifana hayupo geto kwangu basi nipo kwake, maisha yakendelea na utaratibu ni ule ule , ni mwendo wa bata na kula nyapu za dada poa bila kujali ni wala nini.

Siku moja jamaa yangu aliniita niende keko maeneo ya DDC ili tupate kupoza koo japo mimi si mnywaji zaidi ya soda na misosi na kuopoa basi
Sasa mida ya kufika pale alisema nifike saa nne usiku ili twende bar moja inaitwa KING PALACE , maana ilikuwa siku ya jumamosi akadai siku hiyo kunakuwaga na watoto wakali.

Pasipo kumpotezea time mwanangu , saa nne nilikuwa pale nikamcheki kwa simu chap na haraka akatokea maana geto kwake haikuwa mbali na pale , maana aliishi karibu na GEREZA LA KEKO , pale ,kweli tukazama KING PALACE taratibu bro akaagiza vinywaji vyake na mimi nikaagiza misosi na soda , tukaendelea kuburudika.

Mara nikamuona kimwali nikasema bro mimi naishi na huyu leo , maana walikuwa wanazama mle ili kutafuta wateja, nikamsoundisha mrembo akajaa bei na guest tukakubaliana na akanipa kampani japo yeye ni wa vinywaji vikali, hela ikatoka akaendelea kuishi na sisi.

Baada ya mida kidogo naye bro akaendea akaopoa akarudi na malkia wake, naye tukaungana naye kwenye burudani mara tucheze muziki kidogo mara tupigane busu na malaya wale .

Dah laiti ningejua ilikuwa ni siku naenda kumpoteza rafiki yangu that night ningeondoka mapema tu .
Basi mida ya saa nane tukachomoka pale tukaelekea guest fulani ambazo ni kama unaingia keko ndani kidogo , sehemu inaitwa keko torori, basi kila mtu akaendelea na malaya wake mambo mengine vyumbani.

Asubuhi mida ya saa kumi na moja , malaya wangu alihitaji kuondoka nikamruhusu sasa baada ya kuondoka naenda chumba cha bro kumcheki simkuti ila nilikuta vitu vya ndani kama kitanda na visturi vimekaa kama kuna vurugu ilitokea, dah nikawa na mawazo sana , ikabidi niende mapokezi ili niulize kuna nini na jamaa yangu mbona simuoni?

Mapokezi walinijibu mbona huyu jamaa alichukuliwa usiku na wahuni fulani eti amaemchukua Demu wao, dah pale nikawaza sana , ukizingatia keko kipindi hiko si pema sana kwa watu wake , nikawa nawaza tu jamaa angu awe mzima tu , mengine yanasolvika.

Nikatoka pale guest mpka getoni kwake nako wanasema hawajamuona toka jana usiku na chumba kimefungwa.
Nikawa na mawazo sana kwenda chuo kutoa taarifa nasita pia naona aibu nitasema tulikuwa wapi usiku wake mpaka niwe na mashaka hivyo.

Ikabidi niende geto nikapumzishe kichwa kwanza , lahaura , nafika kituo cha polisi ambacho kipo karibu na kituo cha magari pale DDC ndiyo nakuta watu wengi , wamejikusanya pale eti kuna mtu ameuwa amekutwa keko _magurumbasi, hiyo ni mida ya saa mbili kasoro, dah kuulizia alivaaje nikajua ni bro ndiye kauwawa, mara difenda ikaondoka pale kumpeleka _temeke hospitali, niliumia sana tena sana .

Sasa uchunguzi ukaanza na chuo wakawa wananiuliza sana mimi maana nilkuwa close sana ila ilibidi niseme sijaonana naye toka jana hivyo sijui ilikuwaje maana hata simu zangu , siku iliyopita hazikupokelewa na pia nilienda kwake pia ila bado sikumkuta.

Nilihojiwa pia na polisi ila bado sikubatilisha maelezo, mwisho msiba uliendelea na akasafirishwa na chuo mpaka kwao nilienda pia msibani ila ilibaki kuwa hatia moyoni mwangu .
Kila nikikumbuka uwa najutia sana

All in all rest in peace banzoka .
inauma sana hapo keko toroli kuna ile time inaitwa toroli combine nakumbuka siku moja narudi usiku kama saa nne mtaa umetulia nilikuwa na jamaa yangu mmoja yey alikuwa na samsung s6 ni nina katecno w3 mwaka 2016 mara pakatokea kundi la watu mi nikajua watu wametoka kucheza mpira wanashanglia tu wanakuja mtaa uko kimy halafu bado saa nne tunakutana nao uso kwa uso ukuta mrefu kama uchochoro wa mbele wako safi ila wa kati na nyuma wana mapanga wengine fimbo wangine wako peku ,wako tumbo wazi wamevaa vipensi

jamaa yangu alichezea panga sema ubapa alikuwa kavaa modo simu imejichora kweny mfuko wakampokonya mi niliingia kweny vibanda vya furniture kule palikuwa na mlinzi nae kakimbia nimeacha viatu wamechukua vilikuwa vipya.ila walinipiga fimbo ya uso mateke niliponyoka mbio

kwa makadirio wako kama 50 na kitu ni wengi mno
 
Nipo darasa la tatu hasubuhi mama kaniandaa kwa ajili ya kwenda shule vizuri tu na chai nimekunywa na nauli kanipa na pesa ya kutumia pia..

Sasa sijui alizubaa vipi? Si nikachukua/nikaiba pesa shs 400 tena mezani iliwekwa sijui ya nini? Poa nikasindikizwa mpaka kituoni nikapanda basi nikaenda shule baadae niliporudi.. ikagundulika kama ni mimi niliechukua pesa banah wewe.. mama alinitandika sana..

Nilipigwa sana yaani hakuna mfano wa kichapo kilee ukiringanisha na umri ule mdogo na moto nikaunguzwa kidogo mkononi.. ila ilinisaidia baada ya pale sijawahi kuiba tena yaani niliachana na habari ya kuchukua kitu cha mtu popote palee hata mtu akidondosha pesa/kitu na nimeona ntamuokotea na kumpa pesa yake.. ilinisaidia sana..

Cha ajabu nilipofika form 1 .. ilikuwa siku ya malipo mama na dada walikuwa wametoka kazini siku ya kupokea mshahara.. kufika home wakaweka mabegi yao mda huo mimi sipo nipo zangu kiwanjani nacheza mpira.. kumbe banah wameficha pesa zao za mshahara kwa sababu hawataki Baba apate pesa sijajua kama walikuwa na utaratibu wa kumpa pesa au laaah

Nimerudi zangu sina lile wala hili nimeoga zangu na kwenda tena nje kupiga story.. baadae nikaitwa kwa ajili ya chakula nikala..

Baba alivyorudi nilikuwa nimeshalala nikaamshwa na kuanza kuulizwa kuhusu pesa zingatia mda wote mama na dada hawakuniuliza kuhusu pesa kama ingekuwa kweli wameibiwa wangeniuliza kabla ya baba kurudi “ nikajua hapa wanataka kunisingizia tu..

Kikaanza kichapo daah nilipigwa sana bila sababu alaf ilikuwa usiku saa nne inaenda saa tano cha haibu zaidi baba akaanza kunitembeza kwa marafiki zangu kuwauliza kuhusu kuniona na pesa au laah.. marafiki zangu wanasema huyo kwanza sio mwizi wala hachukui cha mtu na leo hakuwa na pesa wala nini! Yaani nilipigwa sana kama mtu ambaye amechukua pesa lazma angesema tu cha ajabu nilikuwa napigwa na mwiko mpaka ukavunjika nikawa napigwa na bakora yaani ingekuwa sio wazazi wangu walllah sijui ingekuaje!!

Mambo yakaishaga maisha mengine yakaendelea sasa nimekua nimemaliza shule na nikaanza kazi sasa lile tukio linajirudia rudia kichwani nikafikilia ngoja nimuulize mama ilikuaje zile pesa mliibiwa kwenye daladala au ilikuaje!!

Mama nikimuulizaga ananiambia tu mwanangu naomba unisamehe sana na anakuaga na huzuni sana kila nikimuulizaga hayo mambo.. yaani analengwagwa mpaka na machozi najisikiaga vibaya sana na nimeachaga kumuuliza tena na kwa moyo wangu wote nimemsamehe sana ila natamani siku aniambie ukweli wa lile jambo lilikuaje!! Nahisi siku moja atanambia tu nimewasamehe ila likinijia kichwani huwa linanisumbua sana kichwa.. daaah baba alinipigaga sanaa kama sio mwanae vilee

Wababa msitoe hadhabu kwa watoto wenu kabla ya kuchunguza kosa..
Inasikitisha sana , kosa siyo lako ila ukapewa adhabau wewe. Ila msamehe mama wanapitia mambo mengi sana magumu.
 
No.1
Way back 2000 nikiwa bado barobaro
Kipindi cha ubabe wa madenti na makonda bado upo sana kuna mwamba mmoja alikuwa konda wa panya temeke-mikoroshini huyu anaitwa (faki)
Nami nilikuwa mkazi wa huko mikoroshini miaka hiyo
Kutokana na ubabe wa madenti na makonda one day hapo mwenge tukaingiana maungoni vibaya mno mida ya wanafunzi saa 12 ikatokea baada ya hapo tukawa washikaji kivile
Baadae maisha yakasonga tukahama huko mikoroshini to mbezi ya kimara
15/12/2000 jamaa yangu akanialika kwenye kipaimara ya mdogo wake mitaa ya ova huyu mshikaji tulikuwa nae secondary miaka hiyoo soo tukafanya yetu kwenye sherehe mixer safari lager zile fupi wakati huo
Kwakuwa mwana kwao njema midaa ya saa 7 usiku akaniaogeza na mkoko wa mzee wake mpaka mitaa ya home
Kumbuka miaka hiyo kipande cha mlandzi- ubungo ndio kinajengwa na mtaliano kampuni ya skamphil collars
Baada ya foleni kidogo tukakaribia home jamaa akaniacha nia home
Nikaanza kuswampa kwa miguu kama dk 5 nikafika home
Sasa nakawa namwaga kojo ili nilale bahati mbaya home hakukuwa na umeme wakati huo ila kwa jirani alishaweka
Huyu jirani (rip) brother Andrew sasa na like wenge la safari mbili nilizo piga kwenye kipaimara sijui hili wala lile lahaula
Kumbe wezi wamemvamia jiran brother Andrew wamepuliza dawa wapo hoi bi taabani na usingizi
Shughuli ipo hapo mie ndio naona kwa jirani kuna movement za watu mixer wengineo kujificha ili nimalizie kukojoa
Na mie nikavunga kama sijaona kitu
Mida hiyo ni very late middle of the night
Nikazunguka mlango wambele wa nyumba
Nimshitua mama kwamba kwa brother kumekucha huko wamama zetu Hawa sasa sikutetemeka mixer pressure kupanda
Bimkubwa akaanza kupagawa nini kifanyike
Akili ya kazi ikanijia nichukue panga na jiwe dada wa kazi na bimkubwa wao wapige nduru mimi nirushe jiwe kwenye paa la brother likifika nami niwe nimefka ilikuwa changanya
Plan ikafanikiwa jiwe linafika nduru juu mie nafika majizi yakachachawa yakapotezana mie nikakomaa na mmoja na panga langu kwenye machaka mixer gizan haoo sasa yule ninae mkimbiza kumbe ananondo si akajeuka kuniatack daa hapa namshuru Polomo huyu ni mwalimu wangu wa self defense walio insi mikoroshini na vertinary miaka hiyo wanajua watoto wa huko
Nika apply za Polomo nika jibu mashambulizi kwa mwizi panga ya kichwa nikashusha shingoni jamaa over bleeding ikamondo wananzengo wanafika kumulika mwizi hamadi ni yule Faki konda wa panya mwenge-mikoroshini nikakausha
Brother kule kaamka na mixer wameiba stabilizer tuu dundo Sony lipo
Kumbe brother ana mkuu huko police force
Simu moja londo likaja chukua mzoga
Baadae Jiji letu saa 12 afande tibaigana anarindima
Kwa taarifa ya jeshi ra porisi
Majambazi yamevamia nyumba ya brother ..... ila wananchi walifanikiwa kuwadhibit
Watu mna visa
 
Sitasahau hiki kisa kwa mshkaj wangu..baada ya kumaliza A level nikapata tempo ya kuandikisha sensa..sasa nilikua na mshkaj wangu mmoja ikawa nikija kutoka ma bush natoka nae tunakula gambe sana kisha tunaenda zetu disco kipimd hicho..tulikua na utaratibu wetu kuwa we party with no bitchez kwahyo ilikua ni kivyetu vyetu ..siku moja nimerud na mpunga wa maana tukaenda na mwana kama kawaida kula gambe..kdgo ikaja pisi kali sana..jamaa yangu akaielewa nikamwambia kama vp sema nayo..pisi ilikua inasoma chuo cha uhazil
Tbr bas baada ya jamaa kusema na mtoto kumbe mtoto alikua anajiandaa walikua wefunga chuo na kesho yake alikua anapanda treni kwenda dar..so wakakubaliana aende chuo kuchukua begi lake then waende guest then gambe na mambo mengine then kesho amuwahishe stesheni awah tren..jama akaniambia mtoto kaeleweka nikaona mshkaj nisimbanie..nikampa mpunga wanku spendi daah hapo ndo ilikua mistake..basi kwel jamaa akaenda nae chuo wakachukua mizgo then wakapanga guest na wakaja sehem nilipokuwepo tukaendeleza gambe kama kawa..mida mida jamaa akasema ngoja aende akale mzgo basi tukaagana..next day mshkaj akaniambia alikamua kama kawa na demu kesha sepa kwenda dar..basi ikapita hyo sasa siku moja tumekaa sehem mshkaj mmoja akatuona wkt yule mshkaj wangu ametoka basi yule jamaa akaniambia huyu ni jamaa yako nikamwabia yes akaniambia anakumbuka alimuona sehem flan na dem wa chuo ila dem
Mwenyewe kaungua na miwaya nikashtuka kinyama..nikapotezea ila ile kitu ilikua inasumbua sana kichwa siku moja nikamwambia mwana eebwana twende tukachek afya maana maisha mafup haya..aisee sitasahau ile siku baada ya mshkaj wangu kukutwa na ngoma na nikajiona nahusika kwa 80% na issue ile..kpndi hicho hakuna ARV wala nn..mshkaj alipata shock akaanza kuumwa kwa hofu ikawa ndo kuumwa mpk kifo..SITASAHAU AISEE
Aisee noma sanaa daa[emoji17][emoji17]
 
lkn mkuu usiwape wengine kwa kukusudia, ukifanya toba ya kweli na ukamtafuta Mungu kwa bidii unapona
Mungu huyo alishanipa muongozo kuwa nisi zini mie nikajidai najua kujiongiza kumbe fala tuu....mshahara wa dhambi ni mauti. Wacha nivune nilichopanda.

Mungu anasamehe lakini kamwe haondoi madhara ya maamuzi yako.
 
dah, anaondoa lkn uwe na bidii. najaribu kuvaa viatu vyako mkuu inauma. jitahidi kupunguza kujihukumu, jisamehe kwanza mwenyewe.
 
Wee jamaa vipi bwana sasa unanione huruma ya nini? Mie mbona nipo poa tuu maana nilijua nitaishia huku huku mzeya ili kuwa suala la muda tuu.

Huo kuondoka hauondoki huu mwaka wa 17 nadunda nao mzeya
 
Namba uliisahau then ukaenda kurenew hii chai walai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kumbuka alisema kuna yule mkaka wa f6 alimpigia sasa alipofika shule ndo akamuomba namba yake ambayo alimpigia

sijui ushaelewa apo au vipi?
 
Back
Top Bottom