Kuna taarifa nimepenyezewa na rafiki yangu Wa karibu kuwa kuna sintofahamu imeibuka baina ya vijana Wa tawi LA ccm mitandaoni, baada ya baadhi yao kutaka wapewe mikataba ya kazi wanayoifanya badala ya kuendelea kuifanya kama kazi ya kujitolea au isiyo rasmi
Kawa taarifa zaidi imebainika kuwa vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilipwa kiasi cha shilingi 7000 kwa Sikh na kiwango hico kimedumu kwa miaka kadhaa bila mabadiliko.
Mtu huyo hakupenda kutaja ID zinazotumiwa na baadhi ya walitimuliwa Bali elieleza kuwa kuna baadhi ya waliokuwa watetezi makini Wa chama hamutawaona tena.
kama hii hali ni kweli basi vijana pande zote wameanza kujitambua na kudai haki pale inapobidi.
hongereni buku 7