Tetesi: Kisa kudai mikataba ya kazi; CCM tawi la mitandaoni watimuana

Tetesi: Kisa kudai mikataba ya kazi; CCM tawi la mitandaoni watimuana

Kuna taarifa nimepenyezewa na rafiki yangu Wa karibu kuwa kuna sintofahamu imeibuka baina ya vijana Wa tawi LA ccm mitandaoni, baada ya baadhi yao kutaka wapewe mikataba ya kazi wanayoifanya badala ya kuendelea kuifanya kama kazi ya kujitolea au isiyo rasmi

Kawa taarifa zaidi imebainika kuwa vijana hao kwa muda mrefu wamekuwa wakilipwa kiasi cha shilingi 7000 kwa Sikh na kiwango hico kimedumu kwa miaka kadhaa bila mabadiliko.

Mtu huyo hakupenda kutaja ID zinazotumiwa na baadhi ya walitimuliwa Bali elieleza kuwa kuna baadhi ya waliokuwa watetezi makini Wa chama hamutawaona tena.
kama hii hali ni kweli basi vijana pande zote wameanza kujitambua na kudai haki pale inapobidi.

hongereni buku 7
uzi huu unapaswa kufutwa unashusha hadhi ya jamii forum
 
Kutwa kukaza misuri kumbe wanaenda lesi buku 7...Pumbafuuuu

Sent from my D2303 using JamiiForums mobile app
 
Kwa kazi gani wanayoifanya???

Kama ni kweli nashauri ipunguze toka 7000 hadi 3000 kwa siku

Sent from my SM-N910H using JamiiForums mobile app
 
Njaa hizi!! Haya siasa chafu kusifiaa upuuzi wa ma ccm na ufisadi wao sasa njaaa inawatimuaa!! Wataajiri wengine kanda maarum....maana awamu hii visasi na upendeleo kanda maarum!! Taifa limevunjwa kwa upendeleo wa wazi
 
Hatunskazi ndiyo maana tumeamua tupumzike maana jpm Pekee amewakaba koo. Hamuoni mnavyotapatapa?
 
Watetea mafisadi chadema, mtanyooka tu

Sent from my TECNO-W5 using JamiiForums mobile app
Hahaha we bado upo tu? VP hizo buku saba bado mnapewa?

from Katesh using Siemens C55
 
Back
Top Bottom