Tetesi: Kisa kudai mikataba ya kazi; CCM tawi la mitandaoni watimuana

Wakalime sasaa

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Ni ajira kamili na meneja mwajiri alikuwa Nape , kumbuka kuna yale majina 46 ya mtandaoni yaliyoombewa ajira za ukuu wa wilaya .
Hao wakina jingalao& co Ltd wamechoka kusafishaa vyoo vya lumu---

Ova
 
Mtoa post sijui umevurugwa? Unatumia mb zako kuleta Uzi wa kijinga jinga hivi?

Sent from my TECNO-Y6 using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaha, naona Dkt Magufuli kawakalia kooni. Nilimsikia jana yule mwenye njaa Pascal Mayalla akiomba radhi wana CCM na upuuzi wake wa kupewa kitu kidogo na kumsifia nyeupe. Sisi tunachapa kazi wala hatulipwi. CCM ipo moyoni. Na uzuri sasa wapinzani mmeshakwisha kabisa, yaani mpo hoi bin taaban. cc Mwanahabari Huru na wanafiki wote.
 

teh teh teh! Lumumba tawi la mtandaoni mmeshikwa pabaya na mmeumbuliwa leo
 
Mkuu hiyo misukule huwa yanikera sana hadi sometimes najuta kuwa mtz kwa ujinga wanaoufanya humu jf
Aisee ni kweli Mkuu ila mimi nimejifunza kupuuza baadhi ya mambo kwa usalama wangu nisije kupata stroke bure, hivyo jitahidi kuwapuuza tu

"Tecno Whatever "
 


Zanziber nako kimenuka




Swissme
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…