Kisa mgongano wa kisiasa; Jay Z na Beyonce wajiweka mbali na Kanye West

Jiga kala sana ma pornstars ma club strippers ,casino hookers .

Je yeye ni mfano mzuri

Halafu bey kaganda kwa mchizi au anamlia timing jamaa awe bilionea asepe na nusu ya utajiri
hivi hawajasign prenup wale eeh?
 
Jigga alimlaga Kim ndo maana Bee ana strong aversion na Kim
 
Ila Kim hanaga shida na mtu kabisa, kizuri zaidi kawa mama bora hakuna mfano!

Vitoto vyake vizuri anavipigisha pamba, north anavyotokelezea sasa! Kamcheki Blue mara nywele hajachana, mara kapauka mtoto yuko rough sana yule aaagh!
 
😂😂😂😂😂 watakwambia tunamwacha mtoto aishi utoto wake
 
Nao kina jayz wamezidi kujiona wako perfect. Jayz alivyopokea kipondo kutoka kwa shemeji yake mbona bey hakuvunja undugu na solange.

Mimi siwapendi.
Wanajishaua sana....kujiona miungu watu!

Mbona Bey kadanganya umri, bikra, analalaga na Julius ( bodyguard) anaibaga verses za watu na hamaindiwi? Kinafiki sana kile kimama!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe analiwa na bodyguard. Hii mpya kwangu

Mnafki kweli kweli bey anapenda kuonekana mwema with perfect life. Akiona mwanamke ana ukaribu na jayz bas atamtafutia kisa akae mbali nao.
 
Yaani wewe kila utakaloambiwa unaamini bila hta kulifanyia utafiti!! ....au ndyo umbea umekolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…