Wee kinaliwa na Julius kitambo tuu....unakumbuka kipindi kile wanataka kumwagana? Basi Hov si analalaga na mastrippers kuna mmoja alimkoleza na nini sijui, akachota mamilioni kwenye acc ya Bee akamnunulia ghorofa! Unaambiwa ukibahatika kulala na Jigga ujue una gholofa jamaa linahonga balaa!....Malaya wake wote kawatoa kimaisha ( halafu hela za kuhonga Malaya zake anachotaga kwenye acc ya Bee tu coz ana access[emoji23] [emoji23] )
Kati ya wote huwa anayemfaidi Hov na Riri asee! Akimtaka hata saa kumi usiku anaenda lala kwake, ndo maana Bee anamuogopa Rihanna kufaa coz anajua mume wake anampenda sana!
Hiyo ndoa Bey ndo anang'ang'ania tu, no true love from Hov!