Ndo hata kumchana nywele kazi?...wale hawajui kulea kazi mashindano tu ya umaarufu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watakwambia tunamwacha mtoto aishi utoto wake
Utafanya sherehe kisa watu wameachanaHiyo siku kuna watu watafanya sherehe na mimi nikiwemo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inasemekana K ya kim ina ulimbo bey hataki kim amkaribie jay[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe analiwa na bodyguard. Hii mpya kwangu
Mnafki kweli kweli bey anapenda kuonekana mwema with perfect life. Akiona mwanamke ana ukaribu na jayz bas atamtafutia kisa akae mbali nao.
Wee kinaliwa na Julius kitambo tuu....unakumbuka kipindi kile wanataka kumwagana? Basi Hov si analalaga na mastrippers kuna mmoja alimkoleza na nini sijui, akachota mamilioni kwenye acc ya Bee akamnunulia ghorofa! Unaambiwa ukibahatika kulala na Jigga ujue una gholofa jamaa linahonga balaa!....Malaya wake wote kawatoa kimaisha ( halafu hela za kuhonga Malaya zake anachotaga kwenye acc ya Bee tu coz ana access[emoji23] [emoji23] )[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe analiwa na bodyguard. Hii mpya kwangu
Mnafki kweli kweli bey anapenda kuonekana mwema with perfect life. Akiona mwanamke ana ukaribu na jayz bas atamtafutia kisa akae mbali nao.
Ha ha ha...mkuu utaitwa mchawi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hiyo siku kuna watu watafanya sherehe na mimi nikiwemo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ha ha haUmbea inogile
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Utafanya sherehe kisa watu wameachana
Hive Jay bado ana manage Rihana?Wee kinaliwa na Julius kitambo tuu....unakumbuka kipindi kile wanataka kumwagana? Basi Hov si analalaga na mastrippers kuna mmoja alimkoleza na nini sijui, akachota mamilioni kwenye acc ya Bee akamnunulia ghorofa! Unaambiwa ukibahatika kulala na Jigga ujue una gholofa jamaa linahonga balaa!....Malaya wake wote kawatoa kimaisha ( halafu hela za kuhonga Malaya zake anachotaga kwenye acc ya Bee tu coz ana access[emoji23] [emoji23] )
Kati ya wote huwa anayemfaidi Hov na Riri asee! Akimtaka hata saa kumi usiku anaenda lala kwake, ndo maana Bee anamuogopa Rihanna kufaa coz anajua mume wake anampenda sana!
Hiyo ndoa Bey ndo anang'ang'ania tu, no true love from Hov!
Yeah ....Riri ndani ya Roc nation LLCHive Jay bado ana manage Rihana?
Ila riri mtamu nae mtoto ana macho kama kala kungumanga .Yeah anamla japo Riri hanaga mzuka nae...sema ndo boss atafanya nini
Interesting__ ana miaka mingapi kumbe?Wanajishaua sana....kujiona miungu watu!
Mbona Bey kadanganya umri, bikra, analalaga na Julius ( bodyguard) anaibaga verses za watu na hamaindiwi? Kinafiki sana kile kimama!
Iv jiga bado hajafikisha 1 bil USD dollar?Jiga kala sana ma pornstars ma club strippers ,casino hookers .
Je yeye ni mfano mzuri
Halafu bey kaganda kwa mchizi au anamlia timing jamaa awe bilionea asepe na nusu ya utajiri
Lkn Jay-Z nayeye si kuna video(cctv) ilionyesha akipigwa teke kwny lift na yule demu mdogo ake beyonce(Solange),yeye huo ni mfano gani kwa watoto wake.anamkwepa sana... ile familia ya kanye na kim watu waajabu kabisa
embu cheki video ya kanye ya famous kweli mtu na akili yako unatoa video mke wako yupo uchi kitandano hyo ni akili kweli?
kim akipost nude kanye analike hayo mambo kina beyonce hawayataki kabisa
beyonce na jay z wapo smart sana unakumbuka walimtenga rihanna aliporudiana na breezy wakasema siyo mfano mzuri kwa mtoto wao atarudianaje na mtu aliyempiga hadi akalazwa [emoji23]
Beyoncee aache ubabaanamkwepa sana... ile familia ya kanye na kim watu waajabu kabisa
embu cheki video ya kanye ya famous kweli mtu na akili yako unatoa video mke wako yupo uchi kitandano hyo ni akili kweli?
kim akipost nude kanye analike hayo mambo kina beyonce hawayataki kabisa
beyonce na jay z wapo smart sana unakumbuka walimtenga rihanna aliporudiana na breezy wakasema siyo mfano mzuri kwa mtoto wao atarudianaje na mtu aliyempiga hadi akalazwa [emoji23]
Ila hata bey kale katako kake kazuriiii,Ila riri mtamu nae mtoto ana macho kama kala kungumanga .
43Interesting__ ana miaka mingapi kumbe?
Bado kiduchuIv jiga bado hajafikisha 1 bil USD dollar?
[emoji23] [emoji23]