Alikuwa ana haki ya kusema hayo " kwa sababu fans wake walikuwa wanataka kujua sababu iliyopelekea mahusiano yao kuyumba " wakati walikuwa ni brothers. .. so logic Yako ni ipi !!?huyo unayesema hana mpango na mtu ndio mwaka jana akiwa jukwaani gafla akaanza kulalamika kuwa jay z hajaenda kwenye harusi yake mara oooh jay z hataki watoto wao wahang out pamoja mara oooh mke wako hampendi mke wangu
unaikumbuka hyo show ya kanye west lakin? ambapo ndio ilipelekea jay z kumdiss kanye kwenye wimbo na kufichua mambo mengine kuhusu TIDAR ambayo hata yalikuwa hayajulikani
safi wanapenda kuwaamulia wenzao namna ya kuishi " hata mimi siwahusuduNao kina jayz wamezidi kujiona wako perfect. Jayz alivyopokea kipondo kutoka kwa shemeji yake mbona bey hakuvunja undugu na solange.
Mimi siwapendi.
HahaaIla Kim hanaga shida na mtu kabisa, kizuri zaidi kawa mama bora hakuna mfano!
Vitoto vyake vizuri anavipigisha pamba, north anavyotokelezea sasa! Kamcheki Blue mara nywele hajachana, mara kapauka mtoto yuko rough sana yule aaagh!
Mkuu Nadhani la msingi ni kujua"mwanamke anaweza kukuvunjia mahusiano yako na ndugu/washkaji zako".Alikuwa ana haki ya kusema hayo " kwa sababu fans wake walikuwa wanataka kujua sababu iliyopelekea mahusiano yao kuyumba " wakati walikuwa ni brothers. .. so logic Yako ni ipi !!?
hahaa ".. pumbavuHuu uzi kama nimevamia kitchen party,[emoji23][emoji23][emoji23]
Ladies endeleen yenu,
Ngoja nkasake 1bn
Yeah hakika ", hata mimi imenitokea hii but sometimes uvunjaji wake unaweza kuwa na tija (May be anaona watu waliokuzunguka hawana vision za maisha zitakazo weza kukuinua) au ukawa usiwe na tija (ukasukumwa na roho yake mbaya tu )Mkuu Nadhani la msingi ni kujua"mwanamke anaweza kukuvunjia mahusiano yako na ndugu/washkaji zako".
ππππ eti ana hurumaKim hajuagi kukataa...mpole mnoo na ana huruma sana!
Wacha weee..!Kim hajuagi kukataa...mpole mnoo na ana huruma sana!
Ha ha.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti ana huruma
wale jamaa na mke wake wanajikuta perfect sana.... na alipigwa sababu solange aligundua hov amecheatLkn Jay-Z nayeye si kuna video(cctv) ilionyesha akipigwa teke kwny lift na yule demu mdogo ake beyonce(Solange),yeye huo ni mfano gani kwa watoto wake.
πππππBeyoncee aache ubaba
ulisema yeezy hana habari na mtu ...me najua mtu asiye na habari na mtu hawezi lalamika kama jamaa alivyolalamika vile....Alikuwa ana haki ya kusema hayo " kwa sababu fans wake walikuwa wanataka kujua sababu iliyopelekea mahusiano yao kuyumba " wakati walikuwa ni brothers. .. so logic Yako ni ipi !!?
mkuu kanye nimtu ambaye hana unafiki " ukimzingua ana kuchana tu black & white ".. aliamua kufanya vile ili watu waweze kumtambua mbaya ninani kati yao " kwa sababu jiga na demu wake huwa wanajifanya ni ma innocent mbele ya kadamnasi " wakati sio kweli ni ma wack ile mbaya " so alitaka watu waifahamu rangi halisi ya the Carter's na sio vinginevyo "... muda wa shobo hana !!!ulisema yeezy hana habari na mtu ...me najua mtu asiye na habari na mtu hawezi lalamika kama jamaa alivyolalamika vile....
yani kwa jinsi jamaa alivyoongea it was like yy ndio anajipendekeza kwa hov kwahyo so analalamika hov anavyompotezea
Wee kinaliwa na Julius kitambo tuu....unakumbuka kipindi kile wanataka kumwagana? Basi Hov si analalaga na mastrippers kuna mmoja alimkoleza na nini sijui, akachota mamilioni kwenye acc ya Bee akamnunulia ghorofa! Unaambiwa ukibahatika kulala na Jigga ujue una gholofa jamaa linahonga balaa!....Malaya wake wote kawatoa kimaisha ( halafu hela za kuhonga Malaya zake anachotaga kwenye acc ya Bee tu coz ana access[emoji23] [emoji23] )
Kati ya wote huwa anayemfaidi Hov na Riri asee! Akimtaka hata saa kumi usiku anaenda lala kwake, ndo maana Bee anamuogopa Rihanna kufaa coz anajua mume wake anampenda sana!
Hiyo ndoa Bey ndo anang'ang'ania tu, no true love from Hov!
Iv jiga bado hajafikisha 1 bil USD dollar?
Mkuu Nadhani la msingi ni kujua"mwanamke anaweza kukuvunjia mahusiano yako na ndugu/washkaji zako".
Macho ya bangi na nyagi[emoji23] [emoji23]Ila riri mtamu nae mtoto ana macho kama kala kungumanga .
Jigga haachi kitu...hadi wapekecha vyerehaniw
wale jamaa na mke wake wanajikuta perfect sana.... na alipigwa sababu solange aligundua hov amecheat