Kisa mgongano wa kisiasa; Jay Z na Beyonce wajiweka mbali na Kanye West

Jigga haachi kitu...hadi wapekecha vyerehani
daaaah kumbe jamaa kitomb..i eeeh basi yule mwana dada anapata shida sana...

ndoa yao naifananisha na ndoa iliyokufa ya captain gadner na jide
ipo siku bey atachoka uvumilivu
 
Kitombi balaa...si unajua mwanaume akishakuwa na sura ya babu halafu akapata hela? Mademu wazuri ndo wanaoumia[emoji15]

Bey hatoki pale anaogopa kuchekwa coz anajifanyaga anapendwa sana!
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sura ya babu na hela hahah una maneno balaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…