Kisa ni mtoto wa Rais ndo muagizaji wa mafuta nchini

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,190
Reaction score
24,620
Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni

Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure?

Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi

Kwanini tusinunue mafuta kutoka Iran na Urusi moja kwa moja? Au Angola?

Na kwanini kila aliyehoji kwanini ishu ya mafuta ni wachache tu ndo wanaruhusiwa kuagiza huyo anayehoji lazima ashughulikiwe?

Kwanini kusiwe na kila mtu aruhusiwe kuleta?Kwanini kunakua na monopoly ya uagizaji wa mafuta?
 
Hizo familia kwa sababu ya Madaraka, nguvu za ushawishi huku wakolindwa na vyombo vya dola na upambe wa chawa wamejimilikisha(monopolize) tenda zote kubwa TZ.
 
Mtoto wa Rais Samia na mkwe wake na mtoto wa mstaafu wa awamu ya nne ndo waagizaji wakubwa wa mafuta nchini kutokea India na Uarabuni

Nchi yetu imekua corrupt na ya hovyo au kwasababu wao viongozi huwekewa mafuta bure?

Mafuta lita 4000 bado tunaagiza mafuta India tu na Saudi

Kwanini tusinunue mafuta kutoka Iran na Urusi moja kwa moja? Au Angola?

Na kwanini kila aliyehoji kwanini ishu ya mafuta ni wachache tu ndo wanaruhusiwa kuagiza huyo anayehoji lazima ashughulikiwe?

Kwanini kusiwe na kila mtu aruhusiwe kuleta?Kwanini kunakua na monopoly ya uagizaji wa mafuta?
Jamiiforum imekuwa ya hovyo sana siku hizii...unaongeaje jambo kubwa kama hili bila USHAHIDI???
yaani ukisema TU sisi tuamini??
..acha chuki binafsi otherwise uwe na ushahidi
 
Hadi siku wanainchi wa TANGANYIKA kwa umoja wetu tutakapoungana na kusema liwalo na liwe hadi hizi familia za mashetani zitolewe kabisa katika uso wa ardhi ya TANGANYIKA, haya malalamiko ya kuonewa na watu wasio na akili ya kawaida ya kiraia yataendelea kuwapo.

Wao wanajua kama wanakosea na wanachofanya ni kinyume na sheria why sisi raia tumekaa tu kulalamika na hatuchukui hatua za kiraia kuwaadhibu na kuwatokomeza.

Tufanye tu kama Ufaransa walichofanya kwenye ukoo na familia ya wafalme waliokuwa wanawakandamiza.
 
Back
Top Bottom