Kisa Simba wydad yawarudisha wachezaji wake kikosini

Labani og

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
19,637
Reaction score
29,473
[emoji1630]Klabu ya Wydad AC imewarudisha wachezaji wake wawili ambao ni Zouahir El Moutaraji na Ismail El Moutaraji ambao walishaanza mazoezi na timu

[emoji1630]Wachezaji hao wawili walikuwa wanatumikia adhabu ya utovu wa nidhamu ila wamerudishwa ili kutafuta ushindi dhidi ya Simba

Via LE Matin

#FutbalPlanetUpdates

NB: Simba mwafwa [emoji23][emoji23] ....naona Simba ikipigwa si goal chini ya 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…