Kisa Simba wydad yawarudisha wachezaji wake kikosini

Typing error
Wala siyo typing error…Ungesema tu coach na siyo ā€œcoacherā€

Kwa vile Kiswahili ni kocha, na wewe ukataka kuandika kizungu ukasema ā€œprofessional coacherā€

Ilitakiwa useme ā€œprofessional coachā€

Hilo neno ā€œcoacherā€ lina maana tofauti kabisa.

Sidhani kama unafahamu maana ya ā€œtypoā€

Ebu sema ulitaka kuandika nini ikatokea hiyo typo?
 
Sawa mkuu ... nmekupata
 
Sema jamaa umeikomalia simba kila uzi wako kuhusu simba ,,roho inakuuma sana pambana na tim yako utopongo ijinasue kule mkiani🤪
 
Kwani simba haijawahi kucheza na waydad mkuu mbona unapiga mikwara.
 
Tatizo ni nidhamu ya kusimamia miradi vyama vingine haviwez kuwa nayo
Aaah wapi!...mbona hiyo nidhamu hatuioni kwenye suala la umeme ?

Unaweza kututajia miradi iliyosimamiwa na wapinzani ikakwama ? Kama ipo labda.
 
Hata wamlete nani, kichapo kinawahusu tu!! Pole Laban og!! Hii ndiyo caf champions league!! Achana na mawazo ya losers cup ambako ulikuwa unapiga ndani nje!! kia unakuhusu hadi mwisho!!
 
Aaah wapi!...mbona hiyo nidhamu hatuioni kwenye suala la umeme ?

Unaweza kututajia miradi iliyosimamiwa na wapinzani ikakwama ? Kama ipo labda.
Tanzania ni kubwa mkuu.....ku supply Umeme nchi nzima sio kitoto
Still tunajitafuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…