Kisa Simba wydad yawarudisha wachezaji wake kikosini

Kisa Simba wydad yawarudisha wachezaji wake kikosini

Typing error
Wala siyo typing error…Ungesema tu coach na siyo “coacher”

Kwa vile Kiswahili ni kocha, na wewe ukataka kuandika kizungu ukasema “professional coacher”

Ilitakiwa useme “professional coach”

Hilo neno “coacher” lina maana tofauti kabisa.

Sidhani kama unafahamu maana ya “typo”

Ebu sema ulitaka kuandika nini ikatokea hiyo typo?
 
Sawa mkuu ... nmekupata
 
Sema jamaa umeikomalia simba kila uzi wako kuhusu simba ,,roho inakuuma sana pambana na tim yako utopongo ijinasue kule mkiani🤪
 
Kwani simba haijawahi kucheza na waydad mkuu mbona unapiga mikwara.
 
Tatizo ni nidhamu ya kusimamia miradi vyama vingine haviwez kuwa nayo
Aaah wapi!...mbona hiyo nidhamu hatuioni kwenye suala la umeme ?

Unaweza kututajia miradi iliyosimamiwa na wapinzani ikakwama ? Kama ipo labda.
 
[emoji1630]Klabu ya Wydad AC imewarudisha wachezaji wake wawili ambao ni Zouahir El Moutaraji na Ismail El Moutaraji ambao walishaanza mazoezi na timu

[emoji1630]Wachezaji hao wawili walikuwa wanatumikia adhabu ya utovu wa nidhamu ila wamerudishwa ili kutafuta ushindi dhidi ya Simba

Via LE Matin

#FutbalPlanetUpdates

NB: Simba mwafwa [emoji23][emoji23] ....naona Simba ikipigwa si goal chini ya 4View attachment 2835773
Hata wamlete nani, kichapo kinawahusu tu!! Pole Laban og!! Hii ndiyo caf champions league!! Achana na mawazo ya losers cup ambako ulikuwa unapiga ndani nje!! kia unakuhusu hadi mwisho!!
 
Aaah wapi!...mbona hiyo nidhamu hatuioni kwenye suala la umeme ?

Unaweza kututajia miradi iliyosimamiwa na wapinzani ikakwama ? Kama ipo labda.
Tanzania ni kubwa mkuu.....ku supply Umeme nchi nzima sio kitoto
Still tunajitafuta
 
Back
Top Bottom