Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miaka 60 bado mnajitafuta?...mtajipata lini sasa?Tanzania ni kubwa mkuu.....ku supply Umeme nchi nzima sio kitoto
Still tunajitafuta
Nyie mmetekeleza kipi kilichofanikiwa mpaka sasa ?In makamba voice "wewe kwako Kila kitu umekitekeleza" ?????..... serikali ni kama baba ....Kila kitu anakifanya mdogo mdogo... huwezi makiza vyote
Hayo yote kila chama chenye dola kinaweza kufanya tena zaidi ya hayo.Kuongeza idadi ya watalii
Ujenzi wa vyumba vya madarasa
98% , kusambaza Umeme vijijin + maji