Kisa ubunge 2025 wenye nia ovu waanza kumchafua Mkurugenzi wa Msama promotion!

Ambakucha

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2019
Posts
435
Reaction score
733
IMG-20250125-WA0059(1).jpg

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ovu ya kumchamfua katika jamii hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema watu hao wamekuwa wakiandika mitandaoni kwamba, yeye amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga.
Amesema: "Video zinazosambaa mitandaoni zinaelekezwa na watu wasio na nia njema na mimi. Na wana lengo la kunichafua hasa kipindi hiki cha 'vita ya ubunge'.
"Hivyo, nawaomba Watanzania puuzeni habari hizo kwa sababu sina nyumba Upanga wala sijafukuzwa kwenye nyumba yoyote," alisema Msama.
Imekuwa ni 'utamaduni' mbaya wa baadhi ya watu wanapotaka kugombea nafasi za kisiasa, hasa za kuchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura, huwapaka 'matope' wengine ambao na wao, au wametangaza kugombea nafasi hizo ama wameonesha nia ya kugombea.
 
Kumchafua kuellekea uchaguzi??? Kwani Msama ni mwanasiasa ama mgombea?
 
View attachment 3386469

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ovu ya kumchamfua katika jamii hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025.
wameonesha nia ya kugombea.
. Huyu ni tapeli, dhulumat, mwizi, mwongo na msafirishaji wa madawa ya kulevya kwa kutumia watu wa injili.

Halafu huwa anajifanya mtu wa dini na mtu wa kujifanya karibu na viongozi wa Serikali
 
Huyo mwehu nae antaka kwenda kugonga meza Dodoma ❓
 
. Huyu ni tapeli, dhulumat, mwizi, mwongo na msafirishaji wa madawa ya kulevya kwa kutumia watu wa injili.

Halafu huwa anajifanya mtu wa dini na mtu wa kujifanya karibu na viongozi wa Serikali
Pia ni mzinzi malaya balaa hula mpaka wahudumu wa Bar super market shell club usiku anzunguka zunguka kusaka malaya hafai kuwa hata Diwani ni mtu wa hovyo sana
 
Ni mwizi wa viwanja vya watu kwa kushirikiana na matapeli wa viwanja hafai kuwa mbungee
 
View attachment 3386469

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Msama Promotions, Alex Msama amewataka Watanzania kutozitilia maanani na kuzipuuza habari zinazosambaa mitandaoni kwamba, amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga jijini Dar es Salaam.
Msama amesema hayo leo jijini Dar es Salam kuwa kuna baadhi ya watu wenye nia ovu ya kumchamfua katika jamii hasa kipindi hiki cha kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa 2025.
Amesema watu hao wamekuwa wakiandika mitandaoni kwamba, yeye amefukuzwa kwenye nyumba yake iliyopo Upanga.
Amesema: "Video zinazosambaa mitandaoni zinaelekezwa na watu wasio na nia njema na mimi. Na wana lengo la kunichafua hasa kipindi hiki cha 'vita ya ubunge'.
"Hivyo, nawaomba Watanzania puuzeni habari hizo kwa sababu sina nyumba Upanga wala sijafukuzwa kwenye nyumba yoyote," alisema Msama.
Imekuwa ni 'utamaduni' mbaya wa baadhi ya watu wanapotaka kugombea nafasi za kisiasa, hasa za kuchaguliwa na wananchi kwa kupigiwa kura, huwapaka 'matope' wengine ambao na wao, au wametangaza kugombea nafasi hizo ama wameonesha nia ya kugombea.
Mtu mwenyewe ni mchafu kupita huo uchafu!
 
Anajitia umuhimu ambao hana simkumbuki hata alikuwa nani hapa nchini,afukuzwe asifukuzwe ananiongezea nini ananipunguzia nini kwenye meza yangu ya utafutaji?

Hawa wajinga wanasiasa hujifanya kushirikisha jamii matatizo yao kumbe hamna lolote hawana huruma yoyote na hiyo jamii na wajinga huwatetea.
 
. Huyu ni tapeli, dhulumat, mwizi, mwongo na msafirishaji wa madawa ya kulevya kwa kutumia watu wa injili.

Halafu huwa anajifanya mtu wa dini na mtu wa kujifanya karibu na viongozi wa Serikali
Huyu namjua mpaka milango ya matapeli aliyokuwa anaingia namjuq vizurii sana. Tapeli huyu
 
Sifa mbaya alizonazo huyu jamaa hafai kuwa hata mjumbe wa nyumba kumi.
Kwa ccm wizi ni sifa. Usishangae akaja kuwa WAZIRI! Kama makonda aliweza kuteuliwa tena na kuutaka ubunge tena na uchafu wote ambao hajawahi kuukanusha!!!! Ile ndiyo CCM Bhana
 
Back
Top Bottom