technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,706
- 52,355
Ndio maana mwaka Jana mechi ya us monastry ilibidi mvua inyeshe kwanza ndio yanga ashinde baada ya simba kuacha uchafu kibao taifa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ile faini mliyopigwa ya kuingia uwanjani kwa kutumia milango isiyo rasmi unaikumbuka? Kitendo kile hakikuwa cha kishirikina?Timu Kila siku ni ushirikina
Kama ni kitendo Cha kishirikina TFF hawang'ati maneno, ndio maana Kuna vitendo vya kishirikina katika mechi za simba vimedhihirika na kutamkwa hadharani na Tff.Ile faini mliyopigwa ya kuingia uwanjani kwa kutumia milango isiyo rasmi unaikumbuka? Kitendo kile hakikuwa cha kishirikina?
Ile tabia yenu ya kuanza mechi kwa kutupiga mpira nje inajulikana inatokana na nini. Yale maji ya maiti mliyomwaga uwanjani siku mnacheza na Simba ulikuwa ushirikina typically. Msifikiri hatuwajui.Kama ni kitendo Cha kishirikina TFF hawang'ati maneno, ndio maana Kuna vitendo vya kishirikina katika mechi za simba vimedhihirika na kutamkwa hadharani na Tff.
Nanyie igeni ili mu mfunge Yanga, ila Tff hawawaonei hii tabia ya kuadhibiwa ni mfululizo wa miaka kumi, kwasasa ndio ime kithiri.Ile tabia yenu ya kuanza mechi kwa kutupiga mpira nje inajulikana inatokana na nini. Yale maji ya maiti mliyomwaga uwanjani siku mnacheza na Simba ulikuwa ushirikina typically. Msifikiri hatuwajui.
Halafu hii Africa kwa unafiki imezidi. Usikute hapo ulipo nyumba,gari,ofisi na kila kitu chako umekizindika kwa ndumba halafu hapa unaanza kuponda wengine.Nanyie igeni ili mu mfunge Yanga, ila Tff hawawaonei hii tabia ya kuadhibiwa ni mfululizo wa miaka kumi, kwasasa ndio ime kithiri.
Hakuna mwaka ndani ya hii miaka kumi ambao Simba haijawahi ku adhibiwa kwa mambo ya kishirikina.
Na ivisasa mnaongoza uko Caf kwa mambo ya shirki na muda si mrefu mtakutana na Rungu halisi la Caf.
Kwasasa Caf wana walia timing tu.
Kwaiyo ukizindika ukifa unazikwa navyo!!.Halafu hii Africa kwa unafiki imezidi. Usikute hapo ulipo nyumba,gari,ofisi na kila kitu chako umekizindika kwa ndumba halafu hapa unaanza kuponda wengine.