Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 563
- 1,362
Habari wana jamvi...?
Nikiwa high school pale mkoani Simiyu wilaya ya maswa MWAKA 2018 kuna tukio lilitokea na mimi kama kiongozi wa dini sikulipenda kabisa hii ilinifanya nikawa na mzozo na chair wa tycs wakati ule. Kwanza ifaahamike shule ile ilikuwa na O-level mixer na A-level ni boys.
So ishu yenyewe ilikuwa ni mahafali ya tycs kidato cha nne na tulialika matawi mengi tuu ya TYCS kutoka shule nyingine za karibu, na pale shuleni tulialika pia madhehebu yote, so kwa matawi ya tycs kutoka shule zingine ilibidi yawahi na misa takatatifu kabisa kwani ilianza sa 3 asubuhi so uwepo wao ulikuwa ni wa muhimu katika kushiriki ibada. Misa iliisha vizuri kabisa ukafika mda wa kupata chai apa ndo tatizo nililiona.
Ipo hivi kuna madarasa yaliandaliwa kama sehemu ya watu kupata iyo chai na slice kadhaa za mkate sasa kuna shule ya wasichana MASWA GIRLS HIGH SCHOOL hawa ndo walikuwa mademu zetu😛😛, so sehemu yetu na wao kupata chai ilikuwa ni sehemu mmoja. (Sasa kuna member mmoja mtiifu sana wa tycs yaani pale skuli muda wa dini alikuwa hakosi, kuna muda unamkuta hadi anamfuata kiongozi wa litrujia then anachukua msalaba, bible, maisha ya watakatifu book, na vingine anawahi anaanda sehemu ya ibada, wakati mwingine huwa anasali peke yake yaani janja alikuwa mtiifu wa sheria kanuni na taraibu zote za shule, inshort alipenda sana kuwa ndani ya ratiba hata iweje kusali yeye hakuacha)
So, hiyo siku kama kawa janja baada ya misa naye alienda kupata chai, (mi nikiwa katika harakati zangu za kuangalia, na kufatilia ratiba ya sherehe inanyooka kama tulivyogawana majukumu) si ndio nikaingia hilo darasa ghafla namuona chair na huyo janja kwa mbele then naona janja kiuonyonge sana anaweka kikombe cha chai na slice 4 za makte zilizokwisha n'gatwa kama mara mbili hivi then anatolewa nje, na mimi mbio mbio nikaunga tela kuwafata then nakuta chair anamwambia jamaa we hujachanga mchango wa sherehe halafu umeenda kunywa chai? Janja alimuomba msamaha chair hadi na goti akapiga, asee nikamuinua na kumuuliza chair
MIMI Chair niambie member muaminifu na mtiifu kama huyu?
CHAIR Hakuna, lakini hajalipa mchango
MIMI So unafikiri watu wakimiss mkate na chai utawapa hizo slice zilizokwisha tafunwa au?
CHAIR Unajua(huku akitaja cheo changu) watu wamechanga so angesubiri awe wa mwisho mimi hata nisingemzuia
MIMI OK! wakati anaimba kwaya ulitegemea nguvu alizopoteza arudishe na nini au huu uji wa jombaa?(mpishi ndo tulikuwa tunamuita hivyo) na KUANZIA LEO IKIWA MIKATE ITABAKI UJUE MIMI SIYO KIONGOZI MWENZAKO WA TYCS NA NAKUHAKIKISHIA SITOSHIRIKI SHEREHE YOYOTE YA TYCS HAPA SHULENI
KWELI bhana baada ya watu wote kupata chai tena pamoja na sisi viongozi kula kilafi ilibaki mikate 13 na hapo ndipo nikamwambia sasa kwanini ulimdhalilisha X tena mbele ya MASWA GIRLS AU ulikuwa unataka credit 3 muhimu? sherehe ile ilendelea huku mimi nishajivua uongozi na janja alipewa mkate mzima.
Baada ya sherehe viongozi wenzetu walisuluhisha lakini mimi niliwajibu kama tunahubiri upendo daily tupendane sisi kwa sisi hadi mabwenini huko tusaidiane sabuni, dawa ya meno na vingine vp kuhusu hili tena mbele ya mademu asee au kisa janja hanaga hizo ishu za mademu au kisa ni mnyonge au zikwa nyingi..
Muda ulienda mlezi nae nilimuonesha msimamo vile vile father pia kutoka parokia ya Nyalikungu nilimwambia hii ni dhamira yangu.
BASI WAKUU YALIPOFIKA MAHAFALI YETU MIMI SIKUFANYA THOUGH WALINIPA CHETI CHA UONGOZI THAT DAY NLIKUWA NA MTOTO MZURI KUTOKA MASWA GILRS TUKIYAJENGA UWANJANI PALE KUNA JIWE KUBWA. Daah that moment. POPOTE ULIPO MREMBO AMINA KUTOKA HGE hakika ulikuwa mrembo
JANJA baada ya matokea alnicheki ana changamoto so mwaka uliofuata baada ya sisi kujIunga na elimu ya juu na yeye ndo alijiunga pale UDOM elimu ya watu maalumu.