Kisa vipande vinne vya mkate, niligomea Mahafalu ya TYCS kidato cha sita

Dah ... Umenikumbusha Meatu huko.... mwanhuzi... Kuna mrembo mmoja hapo Maswa yeye alikuwa klass ya 2017 Filipina isa.. anyway asanteni Wasukuma kwa upendo mlio ni show kipindi nipo Huko 🤲🏿🤲🏿🤲🏿🤝🤝🤝
 
🙂🙂
 
Yaani wewe unajitia mtakatifu halafu manka unawaita mademu, mbinguni utaenda kweli wewe!
 
Back
Top Bottom