KISAIKOLOJIA :ALIYESHIRIKI KUHARIBU MALI NA KULETA VURUGU ILIYOPELEKEA VIFO HATOISHI KWA AMANI

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho.

Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho.

Hilo ni doa la kisaikolojia na kamwe halitofutika.
 
Lol! Dhambi haihamishwi kwa "bluetooth". Hizo correlation hazi-make sense.. Roho za watu waliofariki zitawalilia mpaka mchanganyikiwe
 
Huwezi kuishi kwa amani tena
 
Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho.
Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho.
Hilo ni doa la kisaikolojia na kamwe halitofutika.
Hakuna anayenunua huu ungese unaoandika, endelea kukazana lakini huna lolote, gasho
 
Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho.
Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho.
Hilo ni doa la kisaikolojia na kamwe halitofutika.
ww na wenzio wenye aina moja ya fikra hamjui . Wapo wenye nia njema, and most of them walikuwa na nia njema, wabaya wakajipenyeza wakafanya yao

Haimaanish maandamano yote yalikuwa ni kuchoma au wote walikuwa ni wabaya

Hata hivyo kwenye sheria za nchi haziruhusu kutumia live bullets kwa waandamanaji.

so no way unaweza fifisha kilichotokea
 
wenye nia njema hawakwenda kuchoma moto miundombinu
 
Ukishashiriki katika harakati zenye kuishia katika kuharibu mali ya mtu au yenye maslahi na roho za watu basi ujue hutokaa salama kihisia na kiroho.
Leo hii wapo waliopoteza ndugu zao au baba zao kisa ulishiriki kuleta vurugu hakika danu yako na vizazi vyako havitokuwa salama kiroho.
Hilo ni doa la kisaikolojia na kamwe halitofutika.
Na ujitambulishe kuwa ni mhubiri nani,na unahubiri kwa maslahi ya nani?
 
Back
Top Bottom