ok.🐒Ndg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt.
Hii yote ni kwasababu anaipenda na kuihusudu chadema mnoo kiasi Cha kushindwa kuficha mahaba yake.
Kimsingi huyu bwana mdogo Tlaatlaah ameanza kuwa rafiki yangu badala ya adui nadhani anafanya kazi ya ccm KWAAJILI ya kujikimu maisha ila moyo uko chadema.
Bwana gentleman karibu sana chama la haki. Lenye kupendwa na watanzania na huu upendo wa gentleman ni wa kumkubali HECHE NA LISSU NA SIO MAMY HIPO.
Haha mnapenda demokrasia ila kuishi amuwezi.Hao machizi wote wanaolipwa niliwapiga Ignore Button
Niliwapuuza kitambo sana.
Dipendi kupoteza muda na wapumbavu na wapuuzi.
R I P Thadei Ole MushiHaha mnapenda demokrasia ila kuishi amuwezi.
Njaa mbaya sanaNdg wanajukwaa wenzangu Kwa kipindi kirefu mmeshuhudia member mwenzetu wa jamiiforums bwana mdogo Tlaatlaah akitoa nyuzi zinazohusu chadema Kila siku kama conveyer belt.