Kisamvu...

Kisamvu...

Samvu likikolea Nazi bhana acha kabisa. Samvu lipate karanga aisee hunitoi. Samvu ah samvu weeee😋😋😋😋
 
Vipi ushindwe utaamu wake!!
Ipo ingine yaitwa Haluwa !! Weee hapo utalamba vidole hadi vipauke...
nakinai mapema sana nikila kitu chenye sukari au mafuta mengi hata hiyo haluwa inanishindaga mafuta

watu wa zenji ndo mafundi wa hiyo kitu
 
Ndiyo nilipata mbegu nikalima na ninakula. Jana ndo nimemaliza kwa sasa nitasubiri baada ya mwezi. mshana jr. atakutumia picha mimi sijui kuweka picha.
Hii hapa dada
IMG-20190112-WA0003.jpeg


Jr[emoji769]
 
Back
Top Bottom