Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa watu kama yeye ni type za kibweteremshan jr;
Umemwona wapi hapa?? Jamaa kajitoa kwa makeke hataki kuyafanya mambo kwa siri ka sisi wengine. By the way, who is Kisandu? Ana nini hadi kutangazia Katoliki kuwa wasimfuate fuate?? Kwani yeye ndo wa kwanza kuuacha Ukatoliki??
Aelewe kuwa Papa Pius wa X alisema katika mtaguso mkuu kuwa, mtu yeyote atakaye uasi Ukatoliki, akifa ni motoni milele hivyo Kisandu jiandae kabisa kwenda motoni. Tuulize tulioukulia huo Ukatoliki
HahahaaHuyu Jamaa Ana pia degree ya ualimu wa watoto walemavu H aswa wa ubongo
So nadhani anajijua tatizo lake
Ni wakati wa ww na mzizi mkuu kuangalia namna ya kumsaidi Huyu kondoo
Sasa hivi anataka kuwa raisUlijiunga ukiwa ujabatizwa still ukataka uende haraka ktk hatua za Kanisa, kwa maelezo yote haya inaonesha una tatizo linakusumbua usipo lishughulikia mapema utachanganyikiwa maana Kama hukufanikiwa kuwa mtawa na unasema kanisa limekukana ?? Ukiwa mtumishi wa kanisani unataka utambuliwe kma nani tena ktk maisha yako ya sasa ?? Unataka Kanisa likusaidie ktk siasa ??
To Kisandu
Papa ndio nani hadi ahukumu wengine kwenda motoni, kichenchede wewe
Rais [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa hivi anataka kuwa rais
Hawa watu kama yeye ni type za kibwetere
Kumbe kuna majungu mpk huko?Wengine kwa fitna za huyo pengooo tuliachishwa upadre leo tupo tena tunafurahi kwa kuukosa, iwe uburuda. Chaaa! ote naiyo, na ufilie mbali huo ukaatoliki
Kufa ukatoliki ni ndoto za alinacha! Kama watu hamkukidhi vigezo vya Kuwa watawa mlitaka mbebwe tu!Wengine kwa fitna za huyo pengooo tuliachishwa upadre leo tupo tena tunafurahi kwa kuukosa, iwe uburuda. Chaaa! ote naiyo, na ufilie mbali huo ukaatoliki
Huyu anaumwa japo atapinga kwa nguvu zote kwakuwa ugonjwa wake unahusika na tatizo la kiakili na kisaikolojia na ufahamu
Wakuu kama hamtojali,naomba mnifahamishe huyu jamaa ninani hasa hapa Tanzania?Huyu bwana Unapenda sana kujitangaza.. umehama vyama kedekede sasa dini
Kufa ukatoliki ni ndoto za alinacha! Kama watu hamkukidhi vigezo vya Kuwa watawa mlitaka mbebwe tu!
Alivuma sana kipindi kuelekea uchaguzi mkuu alikuwa kada wa CHADEMA kisha akahamaWakuu kama hamtojali,naomba mnifahamishe huyu jamaa ninani hasa hapa Tanzania?