Tetesi: Kisandu ni kweli kajiengua Kanisa Katoliki

shida wakatoliki wengi hawasomi biblia ndo maana papa alitamka hivyo swali
papa ni nani hadi aingilie mamlaka ya Mungu kumhukumu mtu?

ni mahala gani katika maandiko Mungu alijitangaza kuwa katolik ndo dhehebu lake?

je papa naye ana kiti chake cha hukumu ?

kuwa kanisa baba/mama mbele za Mungu si kitu cha kushikamana nacho soma habari ya Ibrahimu alibalikiwa sana na Mungu lakini baba yake hakupata hiyo neema pia
katika uongozi papa/maaskofu /mapadre hawa jukumu lao ni la kichungaji=kuwalisha kondoo neno la Mungu wasipoete ingekua hivyo mtume Petro basi asingeendelea kuhubiri injili kisa alitangazwa kuwa yeye ni mwamba na Kristo

Pia wana JF msipende kushadadia mambo without critical thinking and the reality of matter ni dhahiri kabisa uko nyumba za malezi kuna some issue za uonevu sana ukitaka kujua uliza watu waliosoma minor, junior and major seminary watakwambia

mshana jr na uchawi wako nmekushanga katika thread hii ku-comment uhalo mtupu while you have an opportunity to ask the threader so many questions

Finally wakatolik someni NENO LA MUNGU ambalo ni kweli ya Kristo nalo litawaweka huru, usinywe yale tu asemayo padre/askofu/papa ukajua ndo sahihi kwako Roho Mtakatifu humfunulia kila mtu kwa viwango tofautitofauti ndo maana kuna karama za Roho Mtakatifu

LAMBOFGOD;
Kwanza naomba ku declare interest; Mimi ni Mkatoliki mzuri sana. Nimekulia katika dini yangu hii tangu tukisali Kilatini mpaka kizazi kipya kilipo badili lugha ile na kuleta kiswahili kitupu. Mungu na atusaidie na Bikira Maria mama wa kanisa alilinde kanisa kwa msaada wa Mwanaye.
Jambo la pili ni kuwa, kama wewe sio Mkatoliki, huwezi elewa nafasi ya Papa Francis kwa kanisa. Yeye ni tofauti na viongozi wengine wote. Ni tofauti kwa sababu:
Anaongea na Mungu moja kwa moja. Wewe waweza ongea na Mungu lakini kwa kupitia Misa takatifu, Rosari, na Litania Takatifu. Yeye Papa, husema na Mungu direct. Upo hapo?? Ndo maana Mama Maria alituletea rosari. Baba mtakatifu ndiye mtu pekee aliyepewa mamlaka ya kufunga au kufungua lolote hapa duniani.
Papa Pius wa X alimfungia Galileo Galilei kutokwenda mbinguni. Galileo hakwenda mbinguni hadi juzi kati wakati Papa John Paul II alipo mfungua kifungo chake kwa sababu imeaminika sasa kuwa dunia ni mviringo.
Kama asingali mfungulia, pamoja na kwamba alifungiwa kwa makosa bado Mungu alimfungia hadi Papa John Paul II Mungu aliposema naye kumhusu mtu huyu aliyekuwa amefungiwa kimakosa. Ujue Mungu anamheshimu sana Papa, angalia sasa John Paul II ameshatangazwa Mtakatifu.
Yapo mengi Wakatoliki tunaamini na haswa kuwahusu hawa Mababa Watakatifu ila ka weye sio mkatoliki, kaa kimya.
 
Kufa ukatoliki ni ndoto za alinacha! Kama watu hamkukidhi vigezo vya Kuwa watawa mlitaka mbebwe tu!
By the way kwa nini wasishukuru kwa hizo fitina walizofanyiwa? Kuishi bila mke mpaka kifo kwani kazi rahisi? Tuwage serious wakati mwingine bwanaaa
 
Kuna mwalimu wangu mmoja aliniambia kuwa majina huwa yanaendana na tabia/hali ya maisha ya mtu. Sasa naamini kulingana na jina la huyu ndugu yetu, naona ana mashaka na kila kitu.​
 
kila jambo na wakati wake, si dhani kama majina ni source.
 
LAMBOFGOD;

Papa Francis
Anaongea na Mungu moja kwa moja. Wewe waweza ongea na Mungu lakini kwa kupitia Misa takatifu, Rosari, na Litania Takatifu. Yeye Papa, husema na Mungu direct. Upo hapo??
Ndo maana Mama Maria alituletea rosari. Baba mtakatifu ndiye mtu pekee aliyepewa mamlaka ya kufunga au kufungua lolote hapa duniani.

dhahiri kabisa inaonekana hujui maandiko na huwa huna mda wa kutafakari neno la Mungu
Nipe ushahidi katika biblia unaosema papa anaongea na Mungu direct tofauti na binadamu wengine?

kila mtu amepewa mamlaka ya kufunga au kufungua lolote hapa duniani kwa imani katika Kristo Yesu.

SOMA BIBLIA NDUGU NENO LITAKUWEKA HURU HISTORIA YAKO KATIKA KANISA HAIKUPELEKI MBINGUNI
 
Imani za kukutana nazo sokoni sio imani. Niliwakuta baba na mama wakiwa Wakatoliki sina haja ya kupotezwa na nisio wajua
 
Ufahamu wako ni mdogo sana juu ya neno la Mungu ndo maana unasema Imani za kukutana nazo sokoni sio imani in fact catholic faith is market one indeed
leta vifungu vya biblia wala huna haja ya kubwabwaja
 
LAMBOFGOD;
Kwanza naomba ku declare interest; Mimi ni Mkatoliki mzuri sana. Nimekulia katika dini yangu hii tangu tukisali Kilatini mpaka kizazi kipya kilipo badili lugha ile na kuleta kiswahili kitupu. Mungu na atusaidie na Bikira Maria mama wa kanisa alilinde kanisa kwa msaada wa Mwanaye.
Jambo la pili ni kuwa, kama wewe sio Mkatoliki, huwezi elewa nafasi ya Papa Francis kwa kanisa. Yeye ni tofauti na viongozi wengine wote. Ni tofauti kwa sababu:
Anaongea na Mungu moja kwa moja. Wewe waweza ongea na Mungu lakini kwa kupitia Misa takatifu, Rosari, na Litania Takatifu. Yeye Papa, husema na Mungu direct. Upo hapo?? Ndo maana Mama Maria alituletea rosari. Baba mtakatifu ndiye mtu pekee aliyepewa mamlaka ya kufunga au kufungua lolote hapa duniani.
Papa Pius wa X alimfungia Galileo Galilei kutokwenda mbinguni. Galileo hakwenda mbinguni hadi juzi kati wakati Papa John Paul II alipo mfungua kifungo chake kwa sababu imeaminika sasa kuwa dunia ni mviringo.
Kama asingali mfungulia, pamoja na kwamba alifungiwa kwa makosa bado Mungu alimfungia hadi Papa John Paul II Mungu aliposema naye kumhusu mtu huyu aliyekuwa amefungiwa kimakosa. Ujue Mungu anamheshimu sana Papa, angalia sasa John Paul II ameshatangazwa Mtakatifu.
Yapo mengi Wakatoliki tunaamini na haswa kuwahusu hawa Mababa Watakatifu ila ka weye sio mkatoliki, kaa kimya.
Mkuu na wewe ukasome, punguza,hearsay
 
Ufahamu wako ni mdogo sana juu ya neno la Mungu ndo maana unasema Imani za kukutana nazo sokoni sio imani in fact catholic faith is market one indeed
leta vifungu vya biblia wala huna haja ya kubwabwaja

LAMBOFGOD;
Kwetu wana kausemi kuwa; Nyani haonagi kundule. Naanza kuelewa usemi huo maanake. Hivi, kati yangu na wewe nnani ana bwabwaja?? Weye msomi wa biblia, umetoa vifungu vyake vingapi?? Heri yangu nimekupa vifungu vya mtaguso mkuu na Mababa Watakatifu walio husika. Wewe upo tu; Leta vifungu vya biblia. Pole zako
 
Mkuu na wewe ukasome, punguza,hearsay

Mkuu;
Kati yangu mimi na weye, nnani haswa aende shule? Weye uliyesikia kuwa kuna Katoliki wala hutaki kuupokea ndo ukasome, punguza hearsay. Biblia imesema wapi kuna kufufua misukule?? Kuna mitume wa pesa?? Luna ngurumo za kupaka?? Nadhani hujui maana ya hearsay. Someni hiyo Biblia mtaelewa wala hamtapelekwa puta
 
LAMBOFGOD;
Kwetu wana kausemi kuwa; Nyani haonagi kundule. Naanza kuelewa usemi huo maanake. Hivi, kati yangu na wewe nnani ana bwabwaja?? Weye msomi wa biblia, umetoa vifungu vyake vingapi?? Heri yangu nimekupa vifungu vya mtaguso mkuu na Mababa Watakatifu walio husika. Wewe upo tu; Leta vifungu vya biblia. Pole zako

endelea kusoma misale na bikra maria akuombee kwa Mungu akiwa amem-substitute Jesus christ
 
Hivi tuliambiwa kuwa kwa kila watanzania kumi wanne ni .................?
 
kwani wewe mtoa mada ni nani???!?[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Back
Top Bottom