Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Dini ya hovyo sana, fully ugaidi tu.
yule shehe ana characteristics zote za gaidi, kuanzia anavyoongea, anavyojifanya mnyenyekevu usoni kumbe moyoni kiumbe mwingine, expression zake usoni anavyojibu kila kitu. hapo walikuwa wanalisha watoto sumu kwa ajili ya kufanya ugaidi, ndio maana utaona watoto wametoka maeneo yaleyaleee ambako magaidi huwa wanatoka, Kondoa, Mtwara, Lindi, Singida, Tanga. hapo ilikuwa bado kidogo angeendele akuuliza ungesikia Kigoma/Ujiji.

Na huwa wanachagua watu wasio na uelewa wa kisomo, wanaoweza kulishwa sumuw akaimeza kama ilivyo bila kuuliza,ndio maana wanaenda hapo failures, wameshindwa elimu dunia, hao ndio priorities. Serikali iwe makini na watu kama hawa. hawakuwepo kipindi cha magufuli, kwa huyu mama wameona kama ni opportunity ya kupitia kwasababu ni muislam, ila tulio na macho ya rohoni tunajua kinachoendelea.

inawezekana Samia hata hajui lengo leo, watakuja wakisema ni dini, tunafundisha dini, ila deep inside, kuna bomb kubwa sana wanalijenga.
 
Mzee wangu Tumsifu Yesu Kristo!
Kwani hata sasa watoto wa kiislam wanafanyiwa mizengwe kuingia sekondari pamoja na shule za upili zilizotapakaa hadi sasa?
 
Mpaka watoto wa miaka mitatu na mitano? Wanajipikia na kulala misikitini....ni sawa?
 
Unaujua mchango wa Wakristo katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
 
Licha ya hawa watoto kurudishwa makwao, wazazi wao inabidi wakamatwe na kuchukuliwa hatua kali za kisheria. Utampelekaje mwanao kusoma elimu ya dini (ugaidi) isiyokuwa na manufaa maishani mwake? Pia wazazi wapimwe na kuchunguzwa akili zao kwa lazima.
 
Hizi dini, dini!
Shidaaaa....
 
Mzee Said,
Hivi vituo vimesajiliwa au kila sheikh anajiamulia? Umesikiliza maelezo ya sheikh anakiri sheikh wa mkoa hatambui watoto kulala hapo....

Miaka 14 unawaweka msikitini boarding mnawafundisha nini muda wote?
Huyo mzee dini imemfopusha hawezi kukuelewa.
 
aione mzee wangu Mohamed Said
 
Mpaka watoto wa miaka mitatu na mitano? Wanajipikia na kulala misikitini....ni sawa?
Hapana hiyo sio sawa mkuu,hao watoto ni wadogo sana bado wanahitaji malezi ya karibu ya wazazi kwsni hata mzazi kumlea mwanawe ni ehemu ya dini.

Hivyo wasidhani kama dini ni kumsomesha mtoto madrasa qurani pekee,bali hsta kukaa naye ukamlea ni sehemu ya Dini..

Nilichokuwa nataka kufikisha ni kwamba watu wasione kwamba madrasaa za bweni za kulala misikitini kwaba ni jambo la ajabu,bali ni utaratibu wa kawaida sana,ila kuwakusanya watoto wadogo katika mazingira hatarishi au mazingira yasiyo rafiki hiyo sio sawa.
 
Yah mkuu nakubali hilo kwamba kama mazingira sio rafiki hiyo ni tatizo.

Lakini pia dini sio altenative ya mtoto aliyefeli la saba,kufanya hivyo ni kukaribisha vilaza kweye Dini ili baadae waje kuongoza jamii,hiyo inakuwa utoto.

Ni muhimu hizi madrasa zisiwe ni dampo la waliofeli darasa la saba,kwani hsta huko kwenye Dini kunahitaji watu weye uwezo wa kufaulu pia.
 
Kabisa mkuu
 
Kwanini madrasa iwe ya bweni wanafundishwa nini?
Si bora wapelekwe hata VETA
 
Hii pia ipo.
Unaweza kuwa mradi binafsi.
Angalia alivyo nenepa na kunawili.
 
Kuji Maslahi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…