Kisarawe: DC Petro Magoti ameutaka Msikiti unaotoa elimu ya dini kwa watoto 96, kuwarudisha walipowatoa sababu ya Mazingira Mabovu ya malazi

Kulala chini msikitini siyo shida
Msikiti kazi yake sio kulaza watoto tena wenye walezi na wazazi. Mnatafuta shortcut ambayo inagharimu nguvu kazi kubwa ya Taifa letu. Mtoto uzae wewe kulea walee wengine. It wont happen.
Baadae ni kuishia kulalamika. Ukweli ni kuwa bila kuamua kuwa responsible na majukumu yetu wenyewe, hakuna padre au shekhe atakayenifanyia kazi yangu ya msingi.
Kuna roles zao chache ila kubwa ni zangu mwenyewe ili mtoto awe binadamu wa kweli
 
Vipi wanaopeleka watoto shule za boarding?
 
Hili nililijua kabla lakini halihalalishi watoto kutokwenda shule eti wanajifunza kuhifadhi Korani!
Hutaki au? Waislam lazima waisome Dini yao. Hizo "shule" zipo na wapo wanaosoma. Ila lazima Waislam waisome Dini yao. Hawa vijana wangekuwa wanazurura tu, wengine wakawa makahaba wala msingelalamika kama hivi. Ila wanasoma Dini yao, mnakuja na makelele. Au mnataka wawe "panya road" ili muwatukane Waislam vizuri kuwa wanalea wahalifu?

Acheni Waislam wasome Dini yao wawe raia wema.
 
Kafri kasaidia waja !

Abu Huraira reported: The Messenger of Allah, peace and blessings be upon him, said, “Verily, no one will enter Paradise but a soul submissive to Allah, yet Allah may support this religion by the hands of a wicked man.”

Source: Ṣaḥīḥ al-Bukhārī 3062, Ṣaḥīḥ Muslim 111

Vipi umeumia?
 
Ntaumije wakati nafurahia Kafri anavyosaidia umati wa Mtume Muhammad!
 
Back
Top Bottom