Ni sahihi ulichokiandika kwa kiasi fulani, kiasi fulani no. Kwenye Uzi huu, nimepitia comment moja moja sijairuka hata moja. Nilicho gundua wengi sana humu comment zao zinaongozwa na chuki za kidini na si mawazo huru.Ujue sometimes huwa sielewu baadhi yenu ni nini hasa mnataka. Hakuna mwenye chuki na dini ya mwenzake hapa Bongo ni tofauti ndogo tu huwa zinajitokeza mara chache na bado tunashirikiana. Kwenye koo zetu tuna ndugu ambao ni Waislamu na Wakristu. Mimi kuwachukia Waislamu ni sawa na kuwachukia ndugu zangu, rafiki zangu.
Turudi nlipoanzia. Sometimes sijui baadhi yenu huwa mnataka nini. Hapo unashabikia watoto kuachishwa shule wasome dini, baadae tutakukuta kwenye uzi mwingine unalalamika kuna udini serikali inajaza Wakristo nafasi za ajira.
MBONA KAZI.
Ningeshauri kwa wamiliki wa JF kwenye mijadala serious kwa ustawi/ usalama wa Taifa letu la TANZANIA, mijada la mamna hii yajitokeze majina halisi ya wachangiaji kuepusha michango ya kipuuzi.