aise
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 5,175
- 16,488
Mtu yuko Kahama anatuma sms DW kuishauri serikali ya marekani.hahah umenikumbusha mbali sana mkuu , kuna watu wanatumaga sms kuishauri serikali ya marekani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu yuko Kahama anatuma sms DW kuishauri serikali ya marekani.hahah umenikumbusha mbali sana mkuu , kuna watu wanatumaga sms kuishauri serikali ya marekani
yule shehe ana characteristics zote za gaidi, kuanzia anavyoongea, anavyojifanya mnyenyekevu usoni kumbe moyoni kiumbe mwingine, expression zake usoni anavyojibu kila kitu. hapo walikuwa wanalisha watoto sumu kwa ajili ya kufanya ugaidi, ndio maana utaona watoto wametoka maeneo yaleyaleee ambako magaidi huwa wanatoka, Kondoa, Mtwara, Lindi, Singida, Tanga. hapo ilikuwa bado kidogo angeendele akuuliza ungesikia Kigoma/Ujiji.Dini ya hovyo sana, fully ugaidi tu.
Mzee wangu Tumsifu Yesu Kristo!Bagamoyo,
Rejea kwenye hiyo video uitazame na usikilize ukiwa makini.
Hakuna mwanafunzi yeyote kutoka nje ya Tanzania.
Rejea usikilize tena hao wanafunzi wengi wameishia darasa la saba na wameletwa hapo na wazee wao waje wasome dini.
Tatizo labda liko hapa.
Nimetumia neno ''labda'' kwa makusudi ili ikiwa lipo tatizo lingine lisemwe.
Ikiwa wewe ni Muislam hutopata tabu unapambiwa watoto wengi wa Kiislam huishia darasa la saba.
Kitwana Kondo alipata kulizungumza hili Bungeni.
Nakuwekea hotuba yake uisome.
(Hotuba ya Mh. Kitwana Kondo (MB) aliyoitoa Bungeni Dodoma, 1999)
Waislam waliofanyiwa mtihani wa kuingia kidato cha kwanza majority yaani wengi walikuwa Waislam na Wengine walikuwa ndiyo wachache.
Waliochaguliwa kuanza kidato cha kwanza wengi walitoka katika wale Wengine na Waislam wakawa wachache.
Waislam kwa kuthamini elimu ndiyo wanawapeleka watoto wao katika shule hizi za ''kimasikini,'' kusoma.
Hatuna ubavu wa kushindana na shule za Wengine ambazo zinapewa ruzuku mabilioni ya kutoka serikalini kupitia Memorandum of Understanding (MUM) katika ya Serikali na Makanisa.
Yapo mengi katika matatizo yanayowakabili Waislam moja wapo ilikuwa NECTA kuhujumu shule za Waislam.
Naamini unayajua maandamano ya Waislam mwaka wa 2012.
Tutoke hapo.
Kama tatizo la kuvamia msikiti usiku wa manane DC na Kamati ya Amani mbona kuna shule za mbovu kupita kiasi hazijavamiwa na wanafunzi kurudishwa makwao?
Angalia ushahidi huo hapo chini:
View attachment 3039350
Upo ushahidi mwingi lakini tuanze na huu.
Nipe jibu kwa nini shule hii haijavamiwa usiku wa manane na DC na Kamati ya
Mpaka watoto wa miaka mitatu na mitano? Wanajipikia na kulala misikitini....ni sawa?NI KAWAIDA KABISA HIZO NI BOARDING ZA ELIMU YA DINI YA KIISILAMU.
tatizo ni kwamba ikionekana watu wanalala katika misikiti watu hudhani wanafundishana ugaidi.
lakini kimsingi boarding kama hizo za masomo ya kiisilamu zipo nyingi sana Nchi hii katika mikoa mingi.
na boarding hizo hufundisha masmo ya kawaida kabisa katika uisilamu.
Kama vile kuhifadhi Qurani,kusoma hadithi,fiqhi,lugha ya kiarabu n.k
Japokuwa wstu wabaya hupitisha ajenda yao popote pale na hivyo hatà huko wapo wachache wanaweza kutumia huo upenyo.
Ila kimsingi Hapo hakuna viashiria vyovyote vya ugaidi.
Unaujua mchango wa Wakristo katika kupigania uhuru wa Tanganyika?Joseph,
Soma historia ya Waislam wa Tanganyika achana na historia ya Nigeria.
Historia ya Nigeria ni tofauti sana na historia ya Tanzania.
Unaujua mchango wa Waislam wa Tanganyika katika kupigania uhuru wa Tanganyika?
Soma historia hii utaongeza maarifa yako.
Hii dini ni ya ajabu sana
Hii dini ya kwenu vipi?Dini ya hovyo sana, fully ugaidi tu.
Hizi dini, dini!Watoto kutoka Mtwara, Singida, Nairobi n.k wakutwa katika mazingira yasiyo rafiki ya malazi huku wakikosa elimu dunia msikitini Kiluvya wilaya ya Kisarawe mkoa wa Pwani nchini Tanzania wakipatiwa mafunzo ya kidini.
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Petro Magoti akiwa na Kamati ya Ulinzi wamefanya ziara kwenye Msikiti huo ili kujionea mazingira ambayo watoto hao wanaishi. DC Magoti amesikitishwa na mazingira aliyoyakuta na kusema siyo salama kwa watoto hao ambao wengine walipaswa kuwa shule.
DC amemtaka Sheikh wa Msikiti huo kusitisha huduma hiyo mara moja na kuamuru watoto hao kurudishwa kwa wazazi wao mara moja kufikia Jumamosi.
Sheikh wa Msikiti huo akijitetea amesema kuwa wanawalea watoto hao kwakuwa Msikiti huo pia unafundisha Kuhifadhi Quran hivyo wamekuwa wakiendesha programu hiyo. Akijibu kuhusu wanakopata watoto hao amesema kuwa wanatoka mikoa mbalimbali nchini na wamekuwa wakiletwa na wazazi kwa mapenzi yao.
Kuhusu huduma ya chakula, sheikh huyo amesema kuwa wamekuwa wakipata ufadhili wa wazazi wa watoto hao ambao huchanga kwa ajili ya chakula.
Watoto wakihojiwa na DC Magoti wameonesha kuwa na baraka za wazazi wao, wengine wamedai wanasoma huko lakini wengi wao wakionesha kuishia darasa la saba na kujiunga na mafunzo hayo
DC Magoti amemtaka Sheikh huyo kufika kituo cha Polisi Kisarawe ili kuandikisha maelezo ya kina kuhusu kilichotokea na kujifunga kuwa anaondoa huduma hiyo.
"naitwa sativa nipo katavi mimi namshauri tu neta nyahu wakae chini na hamas wamalize tofout zao"Mtu yuko Kahama anatuma sms DW kuishauri serikali ya marekani.
Huyo mzee dini imemfopusha hawezi kukuelewa.Mzee Said,
Hivi vituo vimesajiliwa au kila sheikh anajiamulia? Umesikiliza maelezo ya sheikh anakiri sheikh wa mkoa hatambui watoto kulala hapo....
Miaka 14 unawaweka msikitini boarding mnawafundisha nini muda wote?
aione mzee wangu Mohamed SaidWewe ulitaka uone silaha na vifaru?, watu wanaanza kupandikiza ideology kutengeneza mentality then yanakuja hayo mafunzo ya physically. Ukifanikiwa kwenye mentality then hayo mafunzo ya silaha ni kitu chepesi na hata kama hato fundishwa anauwezo wa kujifunza mwenyewe, sababu mind yake ishakuwa distracted na ideology za kikatili.
Nimeongea according to reference nilicho kiona kupitia documentary ya Boko Haram,sababu road map yake ilianza kwa style kama hii ya Kisarawe au unazani Boko Haram iliibuka tu from no where?
Vp unajua content wanazofundishwa?
Vp silabasi wanayo itumia?
Walimu je wanauelewa na wanacho kifundisha kina impact gani kwenye makuzi ya akili ya mtoto?
Vp mzingira ni salama kwa makuzi ya mtoto?
Vp afya zao kimwili na kiakili?
DC anataka kujua zaidi na ndio maana kamwabia aende kituoni kwa maelezo zaidi,ili apaje majibu ya undani zaidi juu ya hayo maswali ya hapo juu.
Hapana hiyo sio sawa mkuu,hao watoto ni wadogo sana bado wanahitaji malezi ya karibu ya wazazi kwsni hata mzazi kumlea mwanawe ni ehemu ya dini.Mpaka watoto wa miaka mitatu na mitano? Wanajipikia na kulala misikitini....ni sawa?
Yah mkuu nakubali hilo kwamba kama mazingira sio rafiki hiyo ni tatizo.Shida sio kulala msikitini kaka, hata hapo mkuu wa mkoa swala alilozungumzia ni watoto kukaa mazingira ambayo sio rafiki, na wengi hawapelekwi hata shule (wengi hapo wanadai wamefeli darasa la saba ila sio kweli)
Binafsi hayo mazingira siwezi kuruhusu mtoto wangu akae ni sawa na kumtupa tu. Wazazi tujielewe jamani watu mafundisho ya dini tunayapokea vibaya
Kabisa mkuuYah mkuu nakubali hilo kwamba kama mazingira sio rafiki hiyo ni tatizo.
Lakini pia dini sio altenative ya mtoto aliyefeli la saba,kufanya hivyo ni kukaribisha vilaza kweye Dini ili baadae waje kuongoza jamii,hiyo inakuwa utoto.
Ni muhimu hizi madrasa zisiwe ni dampo la waliofeli darasa la saba,kwani hsta huko kwenye Dini kunahitaji watu weye uwezo wa kufaulu pia.
Kwanini madrasa iwe ya bweni wanafundishwa nini?Hapana hiyo sio sawa mkuu,hao watoto ni wadogo sana bado wanahitaji malezi ya karibu ya wazazi kwsni hata mzazi kumlea mwanawe ni ehemu ya dini.
Hivyo wasidhani kama dini ni kumsomesha mtoto madrasa qurani pekee,bali hsta kukaa naye ukamlea ni sehemu ya Dini..
Nilichokuwa nataka kufikisha ni kwamba watu wasione kwamba madrasaa za bweni za kulala misikitini kwaba ni jambo la ajabu,bali ni utaratibu wa kawaida sana,ila kuwakusanya watoto wadogo katika mazingira hatarishi au mazingira yasiyo rafiki hiyo sio sawa.
Hii pia ipo.Mimi nina uzoefu na mazingira ya malkaz
Ishu kubwa hapo mazingira ni mabovu mno,
Halafu unakuta hiyo ni project ya sheikh kupiga pesa huku hawajali watoto
Sheikh anaomba misaada kwenye taasisi mbalimbali huku pesa anapiga yeye
Masheikh wengi si wa kuaminika
Maslahi binafsiNi kweli kuna Balaa linaandaliwa mbeleni kupitia hizi dini chini ya umaskini unaoratibiwa na Watawala ,wazungu na waarabu.
Viashiria vya ugaidi hua vinaanza hivi hivi. Ukizingatia mapori yote wamepewa waarabu na wazungu kuna mambo ya kutisha yanakuja.
Kuna wanufaika wakubwa kisiasa wa haya mambo.
Fedha za kuratibu hayo mambo zinatoka wapi?
Kwa nini ni watoto wa maskini kutoka Tanganyika?
Ina maana dini ni kwa ajili ya watoto wa maskini tuu?
JPM alijenga vyuo vya VETA kila Wilaya na gharama zake ni ndogo sana na kuna mabweni wanapewa chakula na malazi bure lakini hakuna wanafunzi wa kutosha badala yake wanakwenda kulala kwenye nyumba za Ibada. Nini kipo nyuma ya huu mkakati.