Kisasi kimelipwa:Kuna yule mchezaji alinawa mpira dakika za nyongeza na kuwapa Simba ushindi

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.

Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe dakika za mwisho kabisa na Simba wakafaidika

Mpaka hapa kisasi kimelipwa.

Ukicheka, ujue na kulia
 
Mkuki kwa nguruwe Leo kwa binadamu umekuwa mchungu.
 
Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.

Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe dakika za mwisho kabisa na Simba wakafaidika

Mpaka hapa kisasi kimelipwa.

Ukicheka, ujue na kulia
Hakunawa mkuu
Alienda kucheza fault ndani ya box ya kizembe kabisaa
Ilikua against jkt kama sijakosea
 
Kila nikimfikiria chasambi sijui alikua anawaza nn dah ajuae ni yy na mungu wake
 
Chasambi inabidi aondoke Simba la sivyo atakua anakumbwa na matukio yenye utata sana... Kuanzia pale aliposema Simba hakuna mchezaji anayemvutia tayari wingu jeusi litakua linamfuata..
 
Back
Top Bottom