Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Mkuki kwa nguruwe Leo kwa binadamu umekuwa mchungu.Sikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.
Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe dakika za mwisho kabisa na Simba wakafaidika
Mpaka hapa kisasi kimelipwa.
Ukicheka, ujue na kulia
Wakubali tu matokeo.Mkuki kwa nguruwe Leo kwa binadamu umekuwa mchungu.
Hakunawa mkuuSikumbuki ilikuwa ni mechi baina ya Simba na timu ipi, ila nachokumbuka ni katika mechi ya msimu huu ambapo kuna mchezaji alinawa mpira kizembe dakika za jioni na kuwapa Simba penati iliyowafanya watoke na alama 3 na kuzua mjadala.
Kama sio kuunawa mpira, basi alisababisha penati ya kizembe dakika za mwisho kabisa na Simba wakafaidika
Mpaka hapa kisasi kimelipwa.
Ukicheka, ujue na kulia
Wao walishangilia ila leo wanalia.Hakunawa mkuu
Alienda kucheza fault ndani ya box ya kizembe kabisaa
Ilikua against jkt kama sijakosea
Muosha huoshwa mkuuWao walishangilia ila leo wanalia.
Chasambi inabidi aondoke Simba la sivyo atakua anakumbwa na matukio yenye utata sana... Kuanzia pale aliposema Simba hakuna mchezaji anayemvutia tayari wingu jeusi litakua linamfuata..Kila nikimfikiria chasambi sijui alikua anawaza nn dah ajuae ni yy na mungu wake