Kisayansi inawezekana Silaha kurushwa kutoka Nchi moja na kwenda kuua Mlengwa aliyeko Nchi nyingine?

Kisayansi inawezekana Silaha kurushwa kutoka Nchi moja na kwenda kuua Mlengwa aliyeko Nchi nyingine?

Tulisema humu kuwa vita sio vya kushangalia. Tatizo letu sisi tunaleta ushabiki kwenye vita kwenye hii vita kuna upande utakaopoteza zaidi ya mwingine na nidhahuri umeaanza kuonekana.
 
Yapo mabomu siku hizi aina.ya KURJUANI Yana uwezo wa kupiga Kona mpaka yamkute mlengwa. Hii kitu ni ya hivi punde imegunduliwa na Taifa teule hivyo wazee wa bikira 72 watawafaidi Sana mwaka huu
 
Yapo mabomu siku hizi aina.ya KURJUANI Yana uwezo wa kupiga Kona mpaka yamkute mlengwa. Hii kitu ni ya hivi punde imegunduliwa na Taifa teule hivyo wazee wa bikira 72 watawafaidi Sana mwaka huu
We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4n
 
We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4n
Kwa hiyo huyo God wao akiwa anapita pita kwenye bustani Kila kichaka anakuta Kuna ndude Ina kichaka Cha ndevu inawashughulikia wamepanga foleni?😀😀😀 Imani nyingine bwana ❗❗❗❗
 
Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha

Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran

Kisayansi hii imekaaje?

Kibongo bongo wanarushaga majini tu

Mlale Unono 😀🔥
Huku kwetu wanachota udongo ulipokanyaga halafu anapelekewa mtaalamu unatumiwa radi jua linawaka inapiga bila hata wingu.
Watu magharibi wakiipata hii technolojia Dunia haitakuwa sehemu salama
 
Unamaanisha baada ya "wazuri hawafi fc"kushindwa attempt yao watatumia drones kurusha Kwa tagert ili ulambaji asali usiwe na kizuizi!!?
 
Kuna watu humu wenyewe comment zao " tunapoelekea kuna vita kubwa itatokea""""
Kila siku ni hivo hivo tuu sa sijui mtu anakua kashiba icream
 
Yes na ni technology ipo muda tuu, ya siku hizi yana uwezo zaidi, target iki move yana uwezo kubadili target automatically, ni kama yanakufuata, na yana precision ya hali ya juu Kwa sababu yanatumia GPS na sensors nyingine, yanapiga targets within centimeters
 
Kwa hiyo huyo God wao akiwa anapita pita kwenye bustani Kila kichaka anakuta Kuna ndude Ina kichaka Cha ndevu inawashughulikia wamepanga foleni?😀😀😀 Imani nyingine bwana ❗❗❗❗
Si afadhali hao wsnaopata Bikra,kuna wanaokufa na kwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro alivyopokelewa na kupskatwa na Ibrahim.Yaani dume,anakusubiri,akupakate.
 
We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4n
Wapo wanaokwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro,alipofika tu,kidume kikampakata.Sasa utachuguwa,uwende kwenye bikira,au ukapakatwe na kidume Ibrahim.
 
Yah ipo hyo sku hizi bomu linatumwa likiwa na uwezo wa kwenda km kadhaa na pia linakuwa na DNA za mhusika so linamfata mhusika tu.

Na bomu hilo linaweza rushwa direct from israel au kubebwa na drone
senge wewe...😂
 
Back
Top Bottom