christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Tulisema humu kuwa vita sio vya kushangalia. Tatizo letu sisi tunaleta ushabiki kwenye vita kwenye hii vita kuna upande utakaopoteza zaidi ya mwingine na nidhahuri umeaanza kuonekana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya ni matusiKwani google huwa mbaitumia kwa kazi gani au ndo kuangalia porn asubuhi mpka jioni
Ee bwana ee walikua wangapHuyu naye kaja na chumvi zake, bomu halifuati Dna za mtu, linafuata target, ndiyomaana mtego wa panya umenasa na wasiohusika.
Kaenda na watu waliokuwa karibu yake.
We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4nYapo mabomu siku hizi aina.ya KURJUANI Yana uwezo wa kupiga Kona mpaka yamkute mlengwa. Hii kitu ni ya hivi punde imegunduliwa na Taifa teule hivyo wazee wa bikira 72 watawafaidi Sana mwaka huu
Kwa hiyo huyo God wao akiwa anapita pita kwenye bustani Kila kichaka anakuta Kuna ndude Ina kichaka Cha ndevu inawashughulikia wamepanga foleni?😀😀😀 Imani nyingine bwana ❗❗❗❗We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4n
Huku kwetu wanachota udongo ulipokanyaga halafu anapelekewa mtaalamu unatumiwa radi jua linawaka inapiga bila hata wingu.Nafikiria namna Nduli Iddi Amin alivyosumbua hadi ikalazimu kutumwa Jeshi nchini mwake likamshughulikie huku Watu Wengi wakipoteza maisha
Nimeshangaa Leo kusikia kifaa kimerushwa Tel Aviv na kwenda Moja kwa Moja kuuwa Mlengwa aliyeko Tehran Iran
Kisayansi hii imekaaje?
Kibongo bongo wanarushaga majini tu
Mlale Unono 😀🔥
Si afadhali hao wsnaopata Bikra,kuna wanaokufa na kwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro alivyopokelewa na kupskatwa na Ibrahim.Yaani dume,anakusubiri,akupakate.Kwa hiyo huyo God wao akiwa anapita pita kwenye bustani Kila kichaka anakuta Kuna ndude Ina kichaka Cha ndevu inawashughulikia wamepanga foleni?😀😀😀 Imani nyingine bwana ❗❗❗❗
Jamaa wamependelewa AkiliKwann Israel ikipiga haikosei!? Iran ilirusha zaidi ya 300 lakini hata moja halikulenga
Wapo wanaokwenda kupakatwa na Ibrahim,kama Lazaro,alipofika tu,kidume kikampakata.Sasa utachuguwa,uwende kwenye bikira,au ukapakatwe na kidume Ibrahim.We unafurahi ila mwenzio aliyekufa ndio anafurahi sana kupata bikira 72 bonge la raha tena bure hawakuombi matumizi wala smart4n
senge wewe...😂Yah ipo hyo sku hizi bomu linatumwa likiwa na uwezo wa kwenda km kadhaa na pia linakuwa na DNA za mhusika so linamfata mhusika tu.
Na bomu hilo linaweza rushwa direct from israel au kubebwa na drone
Aliyetajwa kidiplomasia ni mlinzi wake mmoja, lakini taarifa ya Bbc inataja watu wengi.Ee bwana ee walikua wangap