Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hizi ni laanaBaas wanafunzi wake wakamfuata na kumuuliza: ee baba, mbona hatukuwaacha waliotukuka kama huyu mwanao wakati wa uhakiki? Naye akajibu, amin nawaambia, sijaja kutafuta mchumba.
Bulai nghukogoha nisani injelu"Enyi wana wa nchi ya makinikia,sitamuondoa mkuu wa mji wa bandari salama hata kama haijui 'a',yeye ni mmoja wao wachapakazi na wengine waige mfano wake.Baada ya kusema hayo Bashite akatabasamu na kujipiga piga kifuani akisema;na uhimidiwe kuhani mkuu,kwa maana itaandikwa ukae miaka 7 au zaidi ikikupendeza."
[waraka wa Polepole kwa wanalumumba 2:2-9]
Teh teh teh umetisha mkuu.Na akawapa vipande vya shekeli akisema eenendeni mkawanunue wote kule sinoni mpaka daraja mbili , huku akiwaambia hakuna hata mmoja wao atakayewasumbua sababu nipo kwa ajili yenu!
[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Kisha mfalme akawajibu, "yule aliye kilaza kuliko wote kati yenu ndiye aliye mkuu kuliko wote, muigeni yeye" kuwashwa ( 9:13 -21 )
Mkuu umetisha mbayaNikamuona mfalme amekaa kwenye kiti chake cha enzi naye amejifika kwa mavazi ya fedha, aliyeshika mkononi kitu kama mti mkavu wenye moto wa kufisha.
Akauvunjavunja mti ule vikatokea vijiti viiiingi vyenye uwezo sawa na tabia za kufanana.
Vijiti vile akavigawa kwa kundi kubwa la watu wasioonekana, wote wakawa tayari kuvitumia pindi amri ikitolewa!
Vijiti vile vina miisho minne, ambayo hutoa moto uuao wote wamwaduo MUNGU.
Nikaona moto na kusikia kishindo kishindo kama cha mtu anakohoa mfululizo, mtu mmoja asiyeonekana aliyepewa kijiti kimoja aliamriwa kukitumi!
Alipigwa Mtumishi wa Mungu Ponda bali mauti haikupewa mamlaka juu yake.
Hapo awali Kijiti kilitumika kwa majaribio kikamuua yule askari shupavu Kombe!
Nikakiona kijiti maeneo ya dodoma kikiwa tayari kutumika, nao waliokibeba nikawatambua, mimi tu ili kukujuza wasioonekana hao!
Wakaifyatua mitego ya mioto ile kunielekea, lengo kuu ni kunipeleka kuzimu.
MUNGU akasimama kumkemea shetani pamoja na mfalme!
MALAIKA AKAPAAZA SAUTI KUU AKISEMA OMBENI MSIJE MKAINGIA MAJARIBUNI
Maana tazama wametumwa akina Wakudadavuwa, simiyu, kipara kipya, Barbarosa na Lemutuz ili kumfariji mfalme kwa kujikakamua kuficha uovu unaomchukiza MUNGU upeo.
====UFUNUO UNAENDELEA====
Hiyo kitu kimeniacha hoi kutoka siku hiyo sijanyoa nywele za chini, hadi nipate jibu, hata km ni miaka kumiIle kauli ya eti dunia siyo ya Mungu imeniacha hoi,
Nimejiuliza mengi sana
hapa tunaweza Kuja anzisha dini yetu maana hapa kuna vitabu vingi Sanamkikaa sawa.. tunaweza toa dini apa miaka 3027 uko.. mko vizuri wakuu! nimecheka sana..
Ufunuo unaendelea mkuu.Mkuu umetisha mbaya