Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

Kisheria hakuna mchezaji duniani anayeitwa Pacome wala klabu ya mpira wa miguu inayoitwa Yanga, msiingie taharuki mashabiki wa Simba

Legal Profession ni moja ya taaluma tamu sana ukiielewa, Yanga imewasilisha demand letter kwa semaji letu wakidai bilioni 10 eti kwa madai alipokuwa kijiweni alimtaja Pacome anamaliza mkataba lakini Yanga ni wachawi.

Guys, msiwe mnakurupuka na kujadili mambo msdu iyoyajua, take trouble kuomba hata ushauri wa elimu kidogo kutoka wanasheria, kisheria hakuna mchezaji duniani anaeitwa Pacome, Pacome wako wengi duniani, kuna Pacome Zidane, Pacome Shilole, Pacome Zuchu, Pacome Kopa, Pacome Diamond na Pacome Zouazoua ambaye ni ni mchezaji wa YAnga.

Ahmed alipokuwa akitaja majina alikuwa very technical, alimtaja jina moja TU akijua madhara ya kutaja majina mawili, angetaja PAcome Zouazoua hapo angeingia matatani.Ni sawa sawa na wewe uwe na kitambulisho cha jina chenye jina la Pacome Zuzu halafu cheti chako cha form kina kina jina la Pacome Zuzu, hayo ni majina mawili tofauti.

Ahmed kisheria ataiambia mahakama kuwa hakumtaja Pacome Zouazu ila alikusudia Pacome Mzaramo and his evidence is quite admissible.

Jambo la pili duniani hakuna timu ama klabu inaitwa Yanga, nendeni kwa msajili wa vyama vya michezo mkaangalie vizuri, Ahmed kama alimtaja Yanga basi alikuwa sahihi, hakuna klabu duniani inaitwa Yanga, kuweni waelewa, Ahmed was very technical, IPO klabu duniani inaitwa Yanga African sports club.Kwahiyo YAnga na Yanga African Sports Club ya Injinia Hersi ni vitu viwili tofauti.

The court must prove beyond any reasonable doubt kwamba Ahmed aliiharibu Brand ya Yanga kama anavyoiita Ahmed wanatakiwa wathibitishe kama Ahmed aliikusudia klabu Yao.Ningeweza hapa kuweka Precedents kuonyesha kuwa walioipeleka demand notice kwa Ahmed ni matapeli TU wa kisheria wenye lengo la kumtisha semaji na kuwapa hope watu wa YAnga lakini kisheria ni rubbish

Kwahiyo ni uchafu uchafu uchafu uchafu, doggo Kamwe ndio ameyakanyaga.Enjoy
Duh...wewe Kweli ni bush lawyer...unajua kitu kinaitwa innuendo?
 
Back
Top Bottom