johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mzee Mgaya aache kuropoka ropoka.Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Obvious itakuwa wamefanya yote mawili. Mahakamani na rufaaMzee Mgaya aache kuropoka ropoka.
Kwani hao wanaoyafanya haya si ndio hao waliotunga hizi sheria?
Mzee atulie. Watu wapo kazini
Mleta uzi anataka ufafanuzi, siyo kurukaruka Kama chura ndani ya maji ya motoMzee Mgaya aache kuropoka ropoka.
Kwani hao wanaoyafanya haya si ndio hao waliotunga hizi sheria?
Mzee atulie. Watu wapo kazini
Mmmh Mrambaaaa, leo hujamtaja Mbowe, ajabu!!Obvious itakuwa wamefanya yote mawili. Mahakamani na rufaa
Sent from my itel Prime 4 using JamiiForums mobile app
Asante Bosi kwa kumpa kipande chake.Why huu upuuzi WA Mzee mgaya lazima mlete humu??
Kila mtu aki comment kitu mnakianzishia uzi??
Kama Mwambe alijiunga CCM na hakupoteza ubunge ndio itakuwa hao Covid19? Wanatupotezea muda tu waendelee na kilichowapeleka ikifika 2025 wakapumzike kwa amani.Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao....
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...!
Huyo mzee Mgaya ndo nani na ameitendea nini nchi hii? Huyo siyo authority ya kufanyia marejeo.Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Hahahaaaa...... Wote wako Kilimanjaro sikukuu hii bwashee!Mmmh Mrambaaaa,leo hujamtaja Mbowe,ajabu!!
Kwani CCM siyo Chama cha siasa?Kama Mwambe alijiunga CCM na hakupoteza ubunge ndio itakuwa hao Covid19? Wanatupotezea muda tu waendelee na kilichowapeleka ikifika 2025 wakapumzike kwa amani.