Kisheria Halima Mdee na wenzake wamepoteza ubunge baada ya kukata Rufaa Chadema badala ya kwenda mahakamani!

Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Ameongea point sana, tangiapo akina Halima siyo wabunge, kwanza hatuna bunge tuna baraza la CCM over
 
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Kaongea kama mwananchi tu, kwani hawaruhusiwi kwenda mahakamani baada ya maamuzi ya Kamati Kuu kuamua? Huyo mzee hajui kwamba akina mdee na ndugai hawakukurupuka?
 
Mzee Mgaya anachemka tu. Hawa wamekata rufaa. Technically uamuzi wa kuwafukuza haujakuwa ratified.

Hata Professeri Lipumba aliwahi kutumia loophole kama hii kujirudisha kundini.
Usichanganye madesa bwashee.

Prof Lipumba hakufukuzwa na kikao chochote bali alijiuzulu uenyekiti na baadae alirejea kwa sababu hakukuwa na kikao kilichoketi na kuapprove kujiuzulu kwake.

Halima Mdee na wenzake wamefukuzwa uanachama na kikao halali cha kamati kuu na wanachokifanya sasa ni kutaka Baraza kuu liwarejeshe Chadema.
 
Kaongea kama mwananchi tu, kwani hawaruhusiwi kwenda mahakamani baada ya maamuzi ya Kamati Kuu kuamua? Huyo mzee hajui kwamba akina mdee na ndugai hawakukurupuka?
Unapoona maded wanatumbuliwa unadhani hao akina Mdee ndio nani?

Subiri uone vizuri rangi ya Job na Wilson, wengi mtashangazwa!
 
Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
katiba ya chadema inakataza mambo ya mahakamani,ufatwe utaratibu wa kichama na ndiyo maana zitto alitolewa straight away kwa kwenda mahakamani
 
Kwani CCM siyo Chama cha siasa?
Bwashee logic ya mwambe ni kwamba alikuwa chadema ,akatangaza kuachana na chadema na kujiunga na CCM! kwa mujibu wa sheria zetu ukishaachana na chama kilichokupa udhamini wa ubunge automatically unapoteza ubunge,lakini kwa mwambe ilikuwa tofauti na wewe unajua kilichotokea.
 
yaani awamu hii mazee ni shida
 
next time mkiiba kura mkumbuke masharti ya mabeberu kuhusu 1 billion usd siyo mnaiba kama mandalakyua baadae zinakuja drama za kitoto kama za kina covid 19
Kwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.

Chadema hakuna anayeijua zaidi ya Robert Amsterdam!
 
Bado ni wabunge kwani Chadema bado haijapeleka taarifa NEC na Nec haijamtaarifu Spika.

Kinachoendelea bado ni mchakato wa ndani.
 
Bwashee logic ya mwambe ni kwamba alikuwa chadema ,akatangaza kuachana na chadema na kujiunga na CCM! kwa mujibu wa sheria zetu ukishaachana na chama kilichokupa udhamini wa ubunge automatically unapoteza ubunge,lakini kwa mwambe ilikuwa tofauti na wewe unajua kilichotokea.
Bwashee Cecil Mwambe tangu siku anaapishwa 2015 aliingia na Katiba pamoja na ilani ya CCM bungeni na hakuwahi kuiacha.

Ndio maana Ndugai aligoma kuchezewa ngoma ya kitoto na Ufipa!
 
Kwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.

Chadema hakuna anayeijua zaidi ya Robert Amsterdam!
Ni kweli kabisaaaa lakini mahesabu magumu mno.hivi ilikuwaje kuchukua wabunge wote mpaka kusahau kuwa panatakiwa kuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni?

Hivi kweli halima Mdee na manyanyaso tote aliyopata toka kwa Ndugai na CCM kweli aliweza kukaa na kukubali haya?
Hivi Esther Bulaya alivyonyanyaswa na askari polisi,mmh.

mimi nafikiri ingekuwa bora kuonja maika mitano bila opposition bungeni kama ilivyo kwenye serikali za mitaa na Halmashauri.Tutapata wasaa wa kulinganisha na si ajabu tukapat mfumo bora zaidi.
 
Kwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.

Chadema hakuna anayeijua zaidi ya Robert Amsterdam!
hakuna kitu huwa nafarijika nacho kama mtu akilalamikia unyanyasaji au mapungufu utasikia nyie ufipa nyie bavicha sababu inajulikna nguvu haswa ya wapinga unyanyasaji iko wapi
 
Back
Top Bottom