kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,778
- 14,214
Kwani Zitto Kabwe hakufukuzwaga? ubunge alitimuliwa?Usichanganye madesa bwashee.
Prof Lipumba hakufukuzwa na kikao chochote bali alijiuzulu uenyekiti na baadae alirejea kwa sababu hakukuwa na kikao kilichoketi na kuapprove kujiuzulu kwake.
Halima Mdee na wenzake wamefukuzwa uanachama na kikao halali cha kamati kuu na wanachokifanya sasa ni kutaka Baraza kuu liwarejeshe Chadema.