Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Ameongea point sana, tangiapo akina Halima siyo wabunge, kwanza hatuna bunge tuna baraza la CCM overMzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Kaongea kama mwananchi tu, kwani hawaruhusiwi kwenda mahakamani baada ya maamuzi ya Kamati Kuu kuamua? Huyo mzee hajui kwamba akina mdee na ndugai hawakukurupuka?Mzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Usichanganye madesa bwashee.Mzee Mgaya anachemka tu. Hawa wamekata rufaa. Technically uamuzi wa kuwafukuza haujakuwa ratified.
Hata Professeri Lipumba aliwahi kutumia loophole kama hii kujirudisha kundini.
Unapoona maded wanatumbuliwa unadhani hao akina Mdee ndio nani?Kaongea kama mwananchi tu, kwani hawaruhusiwi kwenda mahakamani baada ya maamuzi ya Kamati Kuu kuamua? Huyo mzee hajui kwamba akina mdee na ndugai hawakukurupuka?
katiba ya chadema inakataza mambo ya mahakamani,ufatwe utaratibu wa kichama na ndiyo maana zitto alitolewa straight away kwa kwenda mahakamaniMzee Mgaya anasema kitendo cha Halima Mdee na wenzake kukata rufaa Baraza kuu la Chadema kinaashiria kuwa kwa sasa wao siyo wanachama wa Chadema na hivyo wanaiomba kamati kuu iwarejeshee uanachama wao...
Chadema haiko juu ya mahakama!katiba ya chadema inakataza mambo ya mahakamani,ufatwe utaratibu wa kichama na ndiyo maana zitto alitolewa straight away kwa kwenda mahakamani
Nani Mdee au Mnyika?Kala Maharage Ya Wapi
next time mkiiba kura mkumbuke masharti ya mabeberu kuhusu 1 billion usd siyo mnaiba kama mandalakyua baadae zinakuja drama za kitoto kama za kina covid 19Chadema haiko juu ya mahakama!
Sio JPM tena kaiua CHADEMA kama mlivyoaminisha watu?Halima Mdee ndio kiumbe aliyefanikiwa kuiiua CHADEMA
Hakuna raia anayehangaika na CHADEMA tena
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Bwashee logic ya mwambe ni kwamba alikuwa chadema ,akatangaza kuachana na chadema na kujiunga na CCM! kwa mujibu wa sheria zetu ukishaachana na chama kilichokupa udhamini wa ubunge automatically unapoteza ubunge,lakini kwa mwambe ilikuwa tofauti na wewe unajua kilichotokea.Kwani CCM siyo Chama cha siasa?
Why huu upuuzi WA Mzee mgaya lazima mlete humu??
Kila mtu aki comment kitu mnakianzishia uzi??
yaani awamu hii mazee ni shidaBwashee logic ya mwambe ni kwamba alikuwa chadema ,akatangaza kuachana na chadema na kujiunga na CCM! kwa mujibu wa sheria zetu ukishaachana na chama kilichokupa udhamini wa ubunge automatically unapoteza ubunge,lakini kwa mwambe ilikuwa tofauti na wewe unajua kilichotokea.
Kwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.next time mkiiba kura mkumbuke masharti ya mabeberu kuhusu 1 billion usd siyo mnaiba kama mandalakyua baadae zinakuja drama za kitoto kama za kina covid 19
Bwasheeee,kweli kabsaa,huyu mmoja yuko Nshara na mwingine nahisi Marangu.Hahahaaaa...... Wote wako Kilimanjaro sikukuu hii bwashee!
Bwashee Cecil Mwambe tangu siku anaapishwa 2015 aliingia na Katiba pamoja na ilani ya CCM bungeni na hakuwahi kuiacha.Bwashee logic ya mwambe ni kwamba alikuwa chadema ,akatangaza kuachana na chadema na kujiunga na CCM! kwa mujibu wa sheria zetu ukishaachana na chama kilichokupa udhamini wa ubunge automatically unapoteza ubunge,lakini kwa mwambe ilikuwa tofauti na wewe unajua kilichotokea.
Ni kweli kabisaaaa lakini mahesabu magumu mno.hivi ilikuwaje kuchukua wabunge wote mpaka kusahau kuwa panatakiwa kuwa na kambi rasmi ya upinzani bungeni?Kwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.
Chadema hakuna anayeijua zaidi ya Robert Amsterdam!
hakuna kitu huwa nafarijika nacho kama mtu akilalamikia unyanyasaji au mapungufu utasikia nyie ufipa nyie bavicha sababu inajulikna nguvu haswa ya wapinga unyanyasaji iko wapiKwa sasa CCM na ACT wazalendo ni ishara ya kutosha huko Duniani kwamba uchaguzi mkuu ulikuwa huru tena wa haki.
Chadema hakuna anayeijua zaidi ya Robert Amsterdam!
Bwashee Cecil Mwambe tangu siku anaapishwa 2015 aliingia na Katiba pamoja na ilani ya CCM bungeni na hakuwahi kuiacha.
Ndio maana Ndugai aligoma kuchezewa ngoma ya kitoto na Ufipa!