Kisheria Halima Mdee na wenzake wamepoteza ubunge baada ya kukata Rufaa Chadema badala ya kwenda mahakamani!

Kwani Zitto Kabwe hakufukuzwaga? ubunge alitimuliwa?
 
Mfalme anafikiri wenzake waliomtangulia walikuwa wajinga (pale walipouma na kupuliza baada ya kushindwa) na yeye anajiona mjanja kwa kutangaza zero (0) upinzani nchi nzima. Nakuhakikishia iko siku hawa walioshiriki uchafuzi watajivua na kumvua nguo atakapokuwa na zero (0) power!
 
Why huu upuuzi WA Mzee mgaya lazima mlete humu??
Kila mtu aki comment kitu mnakianzishia uzi??
Boss hakunaga kitu inaitwa mzee Mgaya, huyu johnthebaptist amekuwa akileta mawazo yake kwa jina la mzee Mgaya.! Anyway, lakini anajitahidi kuwasilisha kama thirdy party ingawa ni yeye huyo huyo!
 
Boss hakunaga kitu inaitwa mzee Mgaya, huyu johnthebaptist amekuwa akileta mawazo yake kwa jina la mzee Mgaya. Ni mshenz.i! Anyway, lakini anajitahidi kuwasilisha kama thirdy party ingawa ni yeye huyo huyo!
Hahahaaaa.....nimecheka sana!

Daudi Mchambuzi amewahi kuchukua mkopo kwa mzee Mgaya bwashee.
 
Rufaa ziko mbili boss ya mahakamani tayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…