Kisheria hii imekaaje?

Jama hana nguvu za kiume,hiyo changamoto sio ndogo,aachane na mambo ya ndoa
Umri wa miaka 44 sio umri wa kukosa nguvu za kiume, nafikiri anakabiliwa na tatizo la kisaikolojia.

Kawaida umri wa miaka 44 hushindwi kutupia bao mbili mbili ama tatu kwa Siku japo Kwa miaka ya hivi karibuni umri huo huambatana na Kisukari ๐Ÿ™Œ
 
Umri wa miaka 44 sio umri wa kukosa nguvu za kiume, nafikiri anakabiliwa na tatizo la kisaikolojia.

Kawaida umri wa miaka 44 hushindwi kutupia bao mbili mbili ama tatu kwa Siku japo Kwa miaka ya hivi karibuni umri huo huambatana na Kisukari ๐Ÿ™Œ
Kiumri bado mdogo labda kuna shida nyingine,mimi na yeye hatupishani sana kiumri ila mabinti huwa wanaomba poo
 
Hilo kwangu haiwezekani mkuu, over my dead body, narudia tena over my dead body..
 
Navoelewa mimi kwakua amevikuta hamtogawana pasu pasu japo lazima umzingatie, ila subiri kwanza kwani kuna dalili yoyote anataka mali zako? Kuna kiashiria chochote anatataka mgawane ongeeni wazi.

Mwisho kama ulioa kidini maliza kidini pia fika ofis za bakwata wakupe muongozo umuache kisheria cheti si mnacho?
 
Cheti kipo
 
Kama mali ulipata kabla ya ndoa na uthibitisho mfano ya tarehe za manunuzi ya kiwanja na tatehe za kupewa kibali cha ujenzi zinaonesha ilikuwa kabla ya ndoa basi hiyo mali haimhusu. Mali mnayogawana ni ile iloyopatikana wakati wa ndoa.

Hapo kuna mahali umesema humridhishi ktk tendo la ndoa? Mimi nadhani hii ifanyie kazi mkuu. Hii ndio shida inayosambaratisha ndoa yako. Zingatia lishe sahihi na mazoezi. Mridhishe mkeo bwana utaona kama ataendelea kuomba talaka. Sasa wewe uko safari wiki 3. Unarudi unapewa mzigo unacheza chini ya kiwango inakuwa sio sawa
 
kama yeye ndie mdai talaka usiandike hiyo talaka.

Ktk Uislamu kuna kitu kinaitwa kujikomboa. Au khului ambapo mwanamke ana uhuru wa kuandika talaka na yeye kukulipa wewe gharama zitakqzokuwezesha wewe kuoa mwanamke mwengine. Gharama hiyo wengine husema ni sawa na mahari wewe ulimpatia
 
Tatizo la kwanza kwa nini uowe mtoto ambaye unaweza kumzaa? rika lako wameisha?

La pili inaonekana tako tatu umeshamwaga tayari sasa fanya mazoezi haya hata kahaba utamfikisha kileleni, unapiga demu yeyote to the maximum.


View: https://youtu.be/Ocxx70JrEEw?si=KuOX4_4yzTa1SoYN
 
Leo nitamchukua shekh mmoja akampe hilo darasa , ili ajikomboe ...nataka kufikia jumapili awe amesepa, niwe huru, nijilie maisha
 
Nakuwa nimechoka sana, ukizingatia Nina mikopo....Na siwezi kufanya kazi ya kumridhisha mwanamke , over my dead body, narudia tena over my dead body
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ